Maskini walimu wa Tanzania

Maskini walimu wa Tanzania

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,017
hivi walimu wa tanzania shida yao nini mbona nashindwa kuwaelewa coz wanaunga ccm mkono mara lowasa mara hawajapanda madaraja mara tunaidai serikali oooh malimbikizo sasa sijui wanafikirije wakati rais kikwete kawaongezea mishahara wana bodaboda wanavaa vizuri walitaka awape nini na maisha yao siku hizi ni bora kila baada ya miaka mitatu wanapandishwa madaraja na nyongeza kubwa za mishahara kila siku wanalamika mamishahara yote hayo mliongezewa
 
una wivu wa kijinga,jirani yako kununua pikipiki imekuwa kero hadi uje humu kulalamika!?
 
ukiona mwalimu anaunga ccm mkono uyo anaakili kabisa na pengine ni wale walimu wa memkwa au wale vijana wa division 5 walioenda ualimu baada ya kawambwa kualibu mfumo wa elimu.
 
Back
Top Bottom