Maskini Saudari wa watu

Hivi Paloma na sosoliso hawajamaliza hili soo tu?


Paloma salamu zako zikufikie popote ulipo!!!!!!!

shukrani kwa salamu...........nilikuwa buguruni nafanya shopinge ya matunda ili nimtengenezee laazizi wangu sharbati.......

Ha ha ha haaaa mkuu safari_ni_safari ila hapa paloma anaonesha anaongoza kwa bao moja.I.e 101 vs 102

umeona eeenh!!! charger mie mkaaareeeeeee...........

mpenzi Paloma come dis way uone Safari_ni_Safari anavyotufanyia visa yaani..

mwenzanguuu........ndo mana nilikuwa najikwaaaaaaaaaa.................hujui kuwa Safari_ni_Safari ni:bange:
 
Last edited by a moderator:



Mkuu sosoliso unamfanyaga nini mwenzio paloma mpaka anakua defensive hivo?

alinipa chipsi kuku na mirinda!!!!

sosoliso kamwekea Paloma limbwata, usishangae.

tena wewe saudari ndio ulimpeleka.............

ni mahaba tu charger.. na tunapigwa vita kila mahali na kila mtu..

bora umesema habibi wangu sosoliso............ charger muumbe nawewe paloma wako.......

ha ha ha ha saudari.. babe Paloma njoo uone halafu ucheke hapa..

naona aibu kucheka mbele dhao mpendhiii..................
 
Last edited by a moderator:
saudari nilikwambia nilikuona wakati umempeleka my habibi kwa sangoma wako...........
 
Last edited by a moderator:
unakumbukahuyu alivyokusumbua..................... saudari
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
and chupa yake ya Mazwa sijui kaweka nini hahahahahaaaa weee charger chupa ina ninihicho?

Hii chupa umeisahau mara hii si ndo ile libwata ulisema tumtest ng'ombe kwanza??
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…