Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
Kwamba Diamond ndo kasabisha ule wimbo upate spidi?Mengine yote umesema kweli ila sioni sababu ya kufananisha nyimbo yake na ya navy kenzo walishirikiana na Diamond.
Amen Mkuu,umenena vyema....Nahisi suala la kuondoka WCB ni kama alitumia hisia zaidi ila sio akili.
Ni vema kusimama peke yake lakini ilikuwa ni muhimu kujua na kutafakari kama ataweza peke yake. Mziki wa sasa ukiwa peke yako bila support yenye nguvu lazima umtafute mchawi.
Hakuna migogoro isiyokuwa na suluhu za mazungumzo,angezungumza na wenzake wawekane sawa, kama ni mikataba irekebishwe.
Apambane sasa maana mashabiki walimpa kichwa kuwa pale anapotea,aoneshe kuwa WCB KApoteza muda wake.
Mashabiki zake pia msimuache sasa kipindi hiki.
mi siku zote nakuambiaga jifunze kupambanua mambo usiwe mwepesi wa kukomenti bila kutumia ubongo,comments zako nyingi zimejaa "kiherehere" flani hivi....Maskini WCB kumbe bado mnaweweseka na mavoko aiseeee poleni. Nilidhani wanaume hamnaga gubu ila sasa duh kumbe lipo kama la makonda na buguruni sweetheart[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ameeleweka vizuri sana mpaka nimeamua nisi'comment' tena.Amen Mkuu,umenena vyema....
mi siku zote nakuambiaga jifunze kupambanua mambo usiwe mwepesi wa kukomenti bila kutumia ubongo,comments zako nyingi zimejaa "kiherehere" flani hivi....
Maisha ni trial and error. Mziki management katoka kwenye management nzuri, tumwache aendelee kujaribu lkn kiukweli kwenda WCB ilikuwa kete sahihi kabisa. Sijui sasa kuondokTangu ang'atuke WCB chama kubwa linaloshikilia muziki wa bongo kwa sasa(kubali au kataa huo ndo ukweli) kijana Mavoko anaonyesha jitihada za kuzaliwa upya kisanaa lakini changamoto kubwa naona kama mashabiki wa muziki bongo wamemtupa na kumpuuza kijana wao licha ya kuachia ngoma mbili ndani ya muda mfupi "Ndegere" na "Naogopa" ukisikiliza audio za hizi ngoma dizaini kama kashuka kidogo hasa kwenye wimbo mpya aloachia sept 27 "Naogopa",hadi sasa huko U tube ana views 181K huku Navy Kenzo ambao nao wameachia ngoma yao siku hiyo hiyo wana views 551K
Mavoko anatakiwa atulie,ajipange aache papara, lazma afanye mambo makubwa kuprove ulimwengu kwamba huko WCB alikuwa anabaniwa,ila kama ataenda na mwendo huu,ataendelea kuwachukia wenzake bila sababu na kuuona muziki mgumu.
Hivi sasa yuko kwenye media tour ya kuupa promo wimbo wake mpya kashafanya intavyuu kwenye EA radio na Magic but hakuna attention yoyote anayopewa(inauma sana) na mpk sasa tayari wimbo wake umeshafunikwa na "Katika" wa Navy Kenzo.....any way ngoja tumpe muda zaidi.View attachment 881199
U see that?😂 the proof of my word😂[emoji38][emoji38][emoji38]siku zote unatoaga nyuzi za kuwalamba inye WCB na za kuwapondea wanaotofautiana na WCB.[emoji38][emoji38][emoji38]dont panic bana kubali ukweli hamuwezi mpoteza mavoko maana hamkumvumbua nyie
Kiherehere on fleek[emoji38][emoji38][emoji38]
U see that?😂 the proof of my word😂
itakua vizuri sanaNgoja nikatizame nimuongezee views