Kwenye sentensi nyingine, Ray ameamplfy kwamba kwa hiyo anataka kuwadhihirishia watanzania kwamba Ray ndio anahusika na hicho kifo, baada ya hilo nimeshirikiana na polisi na kushitaki na kufungua kesi ambapo hivi sasa ninapozungumza yupo polisi Osterbay akihojiwa kwa sababu ameandika kitu ambacho bado kipo ndani ya uchunguzi, hana uhakika nacho sijui Luli amekamatwa Coco Beach which is not true, sijui hizi habari kaipata wapi