Maskini ka Groan ketu kamewakosea nini?

mchajikobe

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
2,652
1,238
Nasikitika kuona kale kakitufe ketu ka groan kimeletewa fitna mpaka kameondolewa,kwani kalikuwa kana kosa gani au madhara gani humu ndani?Mi naona kale kalikuwa kazuri na kanachohamasisha watu kutuma posts zenye akili,kwani hakuna mtu ambaye angekubali kuwekewa groan,hivyo b4 hujatuma post ingekulazimu kuiedit mara nyingi iwezekanavyo ili utume kitu safi na chenye mantiki nzuri kwa jamii,Mods angalieni hili!!
 
kwakweli na mimi nimesikitika sana

That wa a very good tool to measure the quality of posts... I MISS DE GROAN BUTTON
 
Karikuwa katool kazuri but watu walianza kuabuse kuna mtu jana niona anazimwaga tu kwawatu.
Akiona mtu amewekewa thanx yeye anamalizia na groan, kwa kweli hakunivutia sana na huo mwenendo, ni bora kametolewa!
 
Nasikitika kuona kale kakitufe ketu ka groan kimeletewa fitna mpaka kameondolewa,kwani kalikuwa kana kosa gani au madhara gani humu ndani?Mi naona kale kalikuwa kazuri na kanachohamasisha watu kutuma posts zenye akili,kwani hakuna mtu ambaye angekubali kuwekewa groan,hivyo b4 hujatuma post ingekulazimu kuiedit mara nyingi iwezekanavyo ili utume kitu safi na chenye mantiki nzuri kwa jamii,Mods angalieni hili!!

say whaaaaat????? jamani mimi sijapata hata moja na nilikuwa nataka.pls mods niwekeeni mimi peke yangu.
 
Jamaa walikipigia kelele sana hadi wakuu wakaamua kuiondoa. Me ntakuwa naitengeneza artificially!
 
Ndio na mimi nashangaaa sikaoni tena wakati nilikua natuma maombi kwa mtu anayetaka nimfanyie majaribio ili niweze kukatumia....why so fast kameondolewa? OMBI BINAFSI: naomba mkaweke kwenye profile yangu basi hata kama nikukalipia, niko tayari kufanya hivyo, Pls Mods
 
sijui kwa nini wamekatoa,kangeweza kupunguza thread/posts za utumbo humu ndani MODS please..???
 
Mi nadhani wangekaacha ka'GROAN' ila ingewekwa option ya sababu ya ku'groan' kwa atakaye 'groan'. Moderator angetoa ruhusa pia ya members wa JF kuchunguza hizo sababu, kama member zaidi ya ishirini wakigundua sababu sio za msingi nao wakagroan sababu hizo basi huyo member aliyemgroan mwenzake awali ananyang'nywa Thanked 5 na akiishiwa thanked zote anapigwa "Ban" ya miezi miwili kutumia JF......
mnaionaje hiyo..!?
 
Hapa mzee ungejipatia Groan zako kadhaa.
 
Karikuwa katool kazuri but watu walianza kuabuse kuna mtu jana niona anazimwaga tu kwawatu.
Akiona mtu amewekewa thanx yeye anamalizia na groan, kwa kweli hakunivutia sana na huo mwenendo, ni bora kametolewa!

Haswa Nata kulikuwa na mis use ya maana halisi !
 
Karikuwa katool kazuri but watu walianza kuabuse kuna mtu jana niona anazimwaga tu kwawatu.
Akiona mtu amewekewa thanx yeye anamalizia na groan, kwa kweli hakunivutia sana na huo mwenendo, ni bora kametolewa!

Hilo ni kweli watu waliki-abuse, kuna jamaa mmoja jana nilifuatilia amewaweka groan watu wote waliochangia hiyo tread kuanzia kwa mtuma thread!!!
 
Mie nimesikitika maana na post yangu wakaifuta wazee tanzanians tunahitaji kukubali makosa na kukosolewa ili watu waendelee
 
Back
Top Bottom