Mwana wa Nuru
JF-Expert Member
- Dec 3, 2012
- 590
- 415
Aisee!!Napendekeza dinia kuwa na uwanja sawa kwa wote na tuwasaidie Israeli kujilinda.Double standards kama za mheshimiwa 6 hazitatufaa hapa.
hujui chochote about international politics..funga domoSiasa za dunia hii si njema hasa kwa taifa la Israeli kwani dunia yaonekana kuwabeba mahasimu wao ambao wangependa taifa la Israeli kisiwepo kabisa. Iweje wanapojilinda na kutetea haki yao kuishi waonekane makatili huku adui zao wakirusha makombora? Hivi hayo makombora wanayorusha hamas wanayatoa wapi kwa uingi wake na yanawafikiaje? Huku kusimamisha vita si kutaka kutoa mwanya kwa hamas kuingiza makombora zaidi kwa kisingizio cha kuingiza chakula na misaada ya kiutu na maendeleo wakati shehena za silaha toka maadui wa Israeli zikipitisha muda huohuo? mbona hatuja sikia wanaoilaani israeli leo wakimlaani Al Asad wa Syria au wale waasi kwa mauaji ya maelfu ya raia wa Syria? Wako wapi hta wasikemee mauaji yanayofanywa na ndugu zao ISIS kwa maelfu ya washia, wazaidi na wakristo wa Irak wakati Allah kasema 'hakuna kulazimishwa mtu kuingia katika dini bali kila mtu aiona jaza yake siku ya hukumu? Mbona wako kimya kwa mateso na vifo vya wakristo na watu wa dini zingine na wale wa misimamo/ itikadi tofauti kule Indonesia, Pakstani, Afrighanstan, Misri, Iran, na nchi nyingi za kiarabu/kiislamu? Napendekeza dinia kuwa na uwanja sawa kwa wote na tuwasaidie Israeli kujilinda.Double standards kama za mheshimiwa 6 hazitatufaa hapa.
Siasa za dunia hii si njema hasa kwa taifa la Israeli kwani dunia yaonekana kuwabeba mahasimu wao ambao wangependa taifa la Israeli kisiwepo kabisa. Iweje wanapojilinda na kutetea haki yao kuishi waonekane makatili huku adui zao wakirusha makombora? Hivi hayo makombora wanayorusha hamas wanayatoa wapi kwa uingi wake na yanawafikiaje? Huku kusimamisha vita si kutaka kutoa mwanya kwa hamas kuingiza makombora zaidi kwa kisingizio cha kuingiza chakula na misaada ya kiutu na maendeleo wakati shehena za silaha toka maadui wa Israeli zikipitisha muda huohuo? mbona hatuja sikia wanaoilaani israeli leo wakimlaani Al Asad wa Syria au wale waasi kwa mauaji ya maelfu ya raia wa Syria? Wako wapi hta wasikemee mauaji yanayofanywa na ndugu zao ISIS kwa maelfu ya washia, wazaidi na wakristo wa Irak wakati Allah kasema 'hakuna kulazimishwa mtu kuingia katika dini bali kila mtu aiona jaza yake siku ya hukumu? Mbona wako kimya kwa mateso na vifo vya wakristo na watu wa dini zingine na wale wa misimamo/ itikadi tofauti kule Indonesia, Pakstani, Afrighanstan, Misri, Iran, na nchi nyingi za kiarabu/kiislamu? Napendekeza dinia kuwa na uwanja sawa kwa wote na tuwasaidie Israeli kujilinda.Double standards kama za mheshimiwa 6 hazitatufaa hapa.
Nikifunga domo ndo nitajua au ukiniambia ndo nitajua? Acha siasa za ki-Nyerere hizo kwenye miaka ya 60 kwa kujifanya mjuzi ni yeye tu wengine lazima wafuate mawazo yake.Nasisitiza Israeli ina haki ya kujilinda na wa kuwapiga ni Hamas na Isis kwa uovu wao.hujui chochote about international politics..funga domo
Mwana wa nuru unapaswa uelewe kuwa haya unawaita waisraeli siyo waisraeli ni Zionist movement ambayo imeundwa miaka mingi iliyopita na watu wengi wao wanatoka Eastern Europe, wizrael kwa mujibu wa vitabu vyao vya dini kama adhabu waliopewa na Mwenyezimungu hawapaswi kuwa na nchi wameambiwa waishi katika nchi za watu maisha yao yote. Hii nchi ambayo inagombaniwa ilikua inakaliwa na mapalestina waislamu, wakristo na waizraeli bila matatizo chini ya utawala wa wapalestina. Wairaeli walipopata matatizo ugerumani na wengi kuuwawa, nchi za magharibi ikabidi wawapatie sehemu ya kuishi na hapo ndipo hii movement ikajiingiza na wakaanza kwa kuwapa Uganda na wakikataa na ndipo 1948 wakapewa eneo Palestina hapo ndipo ukaanza ugomvi kati ya Palestina na hao ma zionist wanaojiita Maizraeli.Naomba usome historia ya nchi hizo kabla hujazungumzia.Hizo silaha wanazotumia mapalestina ni kama mafataki ambayo wanatengeneza wenyewe majumbani kwa kutumia mabomba.
Zionism ni neno la kibaguzi alilolikuza Hitla ili wayahudi wachukiwe. Israeli ya sasa (pamoja na jordan na sehemu za lebanono na syria za sasa) ni sehemu ya taifa la Israeli ya kale waliopewa na Mungu kwa ahadi kwa Ibrahim na Isaka na Yakobo(Israeli)na kabla ya hapo ilikuwa ni taifa la kaanani. Wapalestina ni wavamizi tu baada ya wayahudi kuwa utumwani Misri na babeli.Aidha wakristo na waislam si kabila bali ni dini tu na wakati wayahudi waliwaruhusu kuishi nao hapo kale, waarabu kwa kutaka kupanua dola yao kuwalazimisha kusilimu mayahudi, wakavamia hekalu lao na baadae kuligeuza kuwa msikiti ambao upo yerusalem hadi sasa. Uvamizi huu ulioendehwa na waarabu wa kikureishi, ulifanyika pia kule makka kwenye al kabba ambapo ni nyumba ya ibada ya watu wa jamii ile ya kale kwa miungu yao lata,mannata na uzza, walioabudiwa hata kabla ya uislamu. walifanya hivyo (kuteka eneo lao la ibada ili kuwalazimisha kuwa waislamu. Nadhani ndo sababu baadae 'mtume' akashushiwa aya ya kurani inayosema 'hakuna mtu kulazimishwa kuingia katika dini'. Hata baada ya aya hiyo 'kushushwa' maeneo hayo ya ibada yaliyotekwa hayajarudishwa kwa wenyewe hadi sasa na badala yake waislamu wamekuwa wakiya fanya hijja na ibada zao hadi leo kwa kuamini kuwa uislamu pia ni dola, si dini tu.Mwana wa nuru unapaswa uelewe kuwa haya unawaita waisraeli siyo waisraeli ni Zionist movement ambayo imeundwa miaka mingi iliyopita na watu wengi wao wanatoka Eastern Europe, wizrael kwa mujibu wa vitabu vyao vya dini kama adhabu waliopewa na Mwenyezimungu hawapaswi kuwa na nchi wameambiwa waishi katika nchi za watu maisha yao yote. Hii nchi ambayo inagombaniwa ilikua inakaliwa na mapalestina waislamu, wakristo na waizraeli bila matatizo chini ya utawala wa wapalestina. Wairaeli walipopata matatizo ugerumani na wengi kuuwawa, nchi za magharibi ikabidi wawapatie sehemu ya kuishi na hapo ndipo hii movement ikajiingiza na wakaanza kwa kuwapa Uganda na wakikataa na ndipo 1948 wakapewa eneo Palestina hapo ndipo ukaanza ugomvi kati ya Palestina na hao ma zionist wanaojiita Maizraeli.Naomba usome historia ya nchi hizo kabla hujazungumzia.Hizo silaha wanazotumia mapalestina ni kama mafataki ambayo wanatengeneza wenyewe majumbani kwa kutumia mabomba.
Nataka sana MrsLeo ila napinga hila za wauza silaha na wapiganaji wa hamas na wafuasi wao makundi hayo mawili ambao kwa pamoja wanakula njama ya kuwahadaa wayahudi ili wasinzie na wapigwe tu kila mara. Nao wayahudi wana haki ya kuishi kwa amani nchini mwao. Hao wapalestina wanaweza kuhamishiwa hata nchi zingine , hata hapa tanzania au marekani kama wanana ardhi yao ni ndogo.kwahyo hutaki vita iishe?
Zionism ni neno la kibaguzi alilolikuza Hitla ili wayahudi wachukiwe. Israeli ya sasa (pamoja na jordan na sehemu za lebanono na syria za sasa) ni sehemu ya taifa la Israeli ya kale waliopewa na Mungu kwa ahadi kwa Ibrahim na Isaka na Yakobo(Israeli)na kabla ya hapo ilikuwa ni taifa la kaanani. Wapalestina ni wavamizi tu baada ya wayahudi kuwa utumwani Misri na babeli.Aidha wakristo na waislam si kabila bali ni dini tu na wakati wayahudi waliwaruhusu kuishi nao hapo kale, waarabu kwa kutaka kupanua dola yao kuwalazimisha kusilimu mayahudi, wakavamia hekalu lao na baadae kuligeuza kuwa msikiti ambao upo yerusalem hadi sasa. Uvamizi huu ulioendehwa na waarabu wa kikureishi, ulifanyika pia kule makka kwenye al kabba ambapo ni nyumba ya ibada ya watu wa jamii ile ya kale kwa miungu yao lata,mannata na uzza, walioabudiwa hata kabla ya uislamu. walifanya hivyo (kuteka eneo lao la ibada ili kuwalazimisha kuwa waislamu. Nadhani ndo sababu baadae 'mtume' akashushiwa aya ya kurani inayosema 'hakuna mtu kulazimishwa kuingia katika dini'. Hata baada ya aya hiyo 'kushushwa' maeneo hayo ya ibada yaliyotekwa hayajarudishwa kwa wenyewe hadi sasa na badala yake waislamu wamekuwa wakiya fanya hijja na ibada zao hadi leo kwa kuamini kuwa uislamu pia ni dola, si dini tu.