Tatizo la CCM wanadhania CHADEMA hata ikifa ndiyo itasababisha wananchi wakipende,LA HASHA,CCM kinazidi kuchukiwa siku hadi siku hata kama CHADEMA kikifa,ACT hawana tofauti na CCK ambao wameungana na CCM kuzunguka nchi nzima eti kuwapinga UKAWA.Sasa hapo kuna upinzani?UPINZANI WA DHATI TANZANIA HII UPO CHADEMA TU NA SI VINGINEVYO.