Nicolas J Clinton Gabone
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 892
- 536
Ebu nishangae watu ambao ati wakiama kutoka CHADEMA wanaenda CCM na ACT hivi kweli wakiama ati wanasingizia ruzuku ya CHADEMA inatafunwa na makao makuu so mimi nakiama na ninaenda CCM au ACT hawaendi pengine na ni viongozi.
Angalia wakiwa CHADEMA wanapata hata kidogo hicho sasa wakienda kwa interahamwe ndo wanatelekezwa mwisho wanabakwa na interahamwe ati kisa ruzuku ya chama lakini wanasahau ruzuku ya interahamwe inaenda wapi ambayo ni zaidi ya bilion moja kila mwezi hayo ndo viongozi wetu.
Hapo ndo utaona CCM na ACT wanajivunia wanachama kutoka CHADEMA utawasikia CHADEMA inakufa kama si akiri ya bamia ni nimi.