Maskhara ya kudhalilisha fani

Sio mbaya sana. Si unajua mambo ya joto la dar so ticha kaamua kuzimua kidogo !
 
Hahhaahahahahaaaa kanikumbusha ticha mmoja namfahamu, jina la utani anaitwa 'Sungura tope'
 
Utawala wa Lowasa huo bora lakini kuwatoa kwenye viroba hadi bia bora Magufuli wakutoa laptop
 
Hawa ndio walimu wanaotembea kwenye misafara ya siasa
 
Teaching aid hiyo, may be fermentation, alcoholic percentage kwenye bevarages....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…