Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
Nipo hapa mikoroshini mbona kwema tusio tu FAMA GUSTA-MIKOROSHINI bali temeke yote ilikuwa hatari kipindi hicho na mpaka leo kipindi cha mbwa mwitu
Siku izi sio zamaniNipo hapa mikoroshini mbona kwema tu
AiseeeTulikuwaaa Maskaanii [emoji445]
Maskaanii Famagustaa [emoji445]
Kukaa kidogo kaja mtu...
Kaaja anatuuliza [emoji444]
Eti Kipaka kafa saa ngapi...
Watu wote tukashangaa..!
Tulikuwa hatuna habari [emoji445][emoji444]
Kwenda kuuliza kumbe kweli!
[emoji445]Siiyo yeye peke yakeee [emoji445]
Safari hii yetu soteee [emoji444]
Yeye ametangulia... [emoji445]
Hata iwe vp na ww utakufa tu [emoji445]
Bashite na mzee wake kipindi hicho hata kuitamka tu Dar es Salaam shida,sembuse kuijua....leo eti ndo wanajifanya wabaaaabeeee wa mjiniWakati huo hata dar sijaota kuijua nilikua zangu Mwanza maeneo yakwetu kigoto
Kuna baharia mmoja alinambiaga Cyprus kna sehemu inaitwa hivyooo....Duuu asee kitambo sana. Fama Gusta sijui manake nini ila ilikuwa maarufu sana enzi hizo palikuwa na wahuni vibaka Wa hatari.
Magomba kafariki mwaka 2016 na sadam amefariki 2019nimemkumbuka mchapanya na nduguye magomba. wakabaji wa tandika na temeke mikoroshini miaka ya 90.
hivi bado wapo hai hao jamaa?