md Nickson
New Member
- Nov 5, 2021
- 3
- 9
Kwani shule ipo moja tuKuna shule ya Masister inaitwa Archangels pre and primary ipo Moshi mjini
Kuna sister pale mkuu wa shule ananyanyasa waalimu na wafanyakazi sana,maneno ya kashafa na kudhalilisha,hapeleki Mafao ya wafanyakazi NSSF .Mishahara midogo mno,na wazazi wanalipa 2milioni +.Naomba serekali ifuatilie hii shule.Mzazi.
Uliona wapi wewe Taasusi hasa za hao wenye kilemba kumjali mfanyakazi.... Ukitaka kuwa weza anzisha kitu kinachoonekana kina future nzuri na faida kwa baadaye halafu ipige chini mwenyewe.....Kuna shule ya Masister inaitwa Archangels pre and primary ipo Moshi mjini
Kuna sister pale mkuu wa shule ananyanyasa waalimu na wafanyakazi sana,maneno ya kashafa na kudhalilisha,hapeleki Mafao ya wafanyakazi NSSF .Mishahara midogo mno,na wazazi wanalipa 2milioni +.Naomba serekali ifuatilie hii shule.Mzazi.
Si anitafute tu stress zitaishastress, usiulize za nini...
Huyo ana stress za kutopigwa mitiKuna shule ya Masister inaitwa Archangels pre and primary ipo Moshi mjini
Kuna sister pale mkuu wa shule ananyanyasa waalimu na wafanyakazi sana,maneno ya kashafa na kudhalilisha,hapeleki Mafao ya wafanyakazi NSSF .Mishahara midogo mno,na wazazi wanalipa 2milioni +.Naomba serekali ifuatilie hii shule.Mzazi.
Kuna shule ya Masister inaitwa Archangels pre and primary ipo Moshi mjini
Kuna sister pale mkuu wa shule ananyanyasa waalimu na wafanyakazi sana,maneno ya kashafa na kudhalilisha,hapeleki Mafao ya wafanyakazi NSSF .Mishahara midogo mno,na wazazi wanalipa 2milioni +.Naomba serekali ifuatilie hii shule.Mzazi.
Zinatokana na kutobanjuliwastress, usiulize za nini...