chinkychinky
Member
- Sep 24, 2020
- 18
- 170
Kuna masingo mother wengine wanaboa jamani. Utakuta mwanamke kazaa tu na kibaka kisa alipewa hela za siku moja na jamaa kamtelekeza mtoto. Singo Maza akipata mtu mpya utasikia mwanao anakusalimia, au leo mwanao anauliza eti baba anakuja lini tena kutuona? Wakati yeye anagegedana na kibaka alikuwa hajawahi kuwaza iko siku atakuja kuachwa.Napitia Uzi kibao na comment mbalimbali nikiona wanaume wanawakashifu masingle mother wakati wimbi Ili la masingle Maza wamesababisha wao Kwa kukwepa na kukimbia majukumu Yao. Wimbi kubwa la Wanawake saiv ni singo Maza mwingn aliolewa kaachika na watoto kaachiwa ndo maan wa mama wamejaa mabarabaran wakitafuta rizk tofaut na miak ya zamani
Singo Maza msikatishwe tamaa na vijineno vya watu wachache wasiojielewa akuna mkamilifu dunian na akuna mwanamke anayependa kulea mtoto mwenyw pambanen Mpk tone la mwisho kulea watoto wenu amuwez kujua baadaye watakuwa wakina nani
Watoto ni Baraka pia Kuna watu wanahangaik usiku na mchana kutafuta watoto akun kitu Cha thaman dunian kama Kuwa na watoto ndo maan tulitumwa kujaza Dunia . Hakuna kitu kinaumiza dunian kama kukosa mtoto Bora ukose ndoa kuliko kukosa mtoto mshukurun Mungu Kwa Baraka hiyo ambayo Wanawake weng wamejaa mahospitalin kuitafuta iyo Baraka.
Mtoto ndo ndugu Yako wa ukweli na sio mwanaume
Singo Maza mitano tenaaaaaaaaaaaaaaa
Mungu awape furaha;anani na mafanikio makubwa sana masingo mazaNapitia Uzi kibao na comment mbalimbali nikiona wanaume wanawakashifu masingle mother wakati wimbi Ili la masingle Maza wamesababisha wao Kwa kukwepa na kukimbia majukumu Yao. Wimbi kubwa la Wanawake saiv ni singo Maza mwingn aliolewa kaachika na watoto kaachiwa ndo maan wa mama wamejaa mabarabaran wakitafuta rizk tofaut na miak ya zamani
Singo Maza msikatishwe tamaa na vijineno vya watu wachache wasiojielewa akuna mkamilifu dunian na akuna mwanamke anayependa kulea mtoto mwenyw pambanen Mpk tone la mwisho kulea watoto wenu amuwez kujua baadaye watakuwa wakina nani
Watoto ni Baraka pia Kuna watu wanahangaik usiku na mchana kutafuta watoto akun kitu Cha thaman dunian kama Kuwa na watoto ndo maan tulitumwa kujaza Dunia . Hakuna kitu kinaumiza dunian kama kukosa mtoto Bora ukose ndoa kuliko kukosa mtoto mshukurun Mungu Kwa Baraka hiyo ambayo Wanawake weng wamejaa mahospitalin kuitafuta iyo Baraka.
Mtoto ndo ndugu Yako wa ukweli na sio mwanaume
Singo Maza mitano tenaaaaaaaaaaaaaaa
[emoji1787] umefunikaKuna masingo mother wengine wanaboa jamani. Utakuta mwanamke kazaa tu na kibaka kisa alipewa hela za siku moja na jamaa kamtelekeza mtoto. Singo Maza akipata mtu mpya utasikia mwanao anakusalimia, au leo mwanao anauliza eti baba anakuja lini tena kutuona? Wakati yeye anagegedana na kibaka alikuwa hajawahi kuwaza iko siku atakuja kuachwa.
hahahahahaKuna masingo mother wengine wanaboa jamani. Utakuta mwanamke kazaa tu na kibaka kisa alipewa hela za siku moja na jamaa kamtelekeza mtoto. Singo Maza akipata mtu mpya utasikia mwanao anakusalimia, au leo mwanao anauliza eti baba anakuja lini tena kutuona? Wakati yeye anagegedana na kibaka alikuwa hajawahi kuwaza iko siku atakuja kuachwa.
Napitia Uzi kibao na comment mbalimbali nikiona wanaume wanawakashifu masingle mother wakati wimbi Ili la masingle Maza wamesababisha wao Kwa kukwepa na kukimbia majukumu Yao. Wimbi kubwa la Wanawake saiv ni singo Maza mwingn aliolewa kaachika na watoto kaachiwa ndo maan wa mama wamejaa mabarabaran wakitafuta rizk tofaut na miak ya zamani
Singo Maza msikatishwe tamaa na vijineno vya watu wachache wasiojielewa akuna mkamilifu dunian na akuna mwanamke anayependa kulea mtoto mwenyw pambanen Mpk tone la mwisho kulea watoto wenu amuwez kujua baadaye watakuwa wakina nani
Watoto ni Baraka pia Kuna watu wanahangaik usiku na mchana kutafuta watoto akun kitu Cha thaman dunian kama Kuwa na watoto ndo maan tulitumwa kujaza Dunia . Hakuna kitu kinaumiza dunian kama kukosa mtoto Bora ukose ndoa kuliko kukosa mtoto mshukurun Mungu Kwa Baraka hiyo ambayo Wanawake weng wamejaa mahospitalin kuitafuta iyo Baraka.
Mtoto ndo ndugu Yako wa ukweli na sio mwanaume
Singo Maza mitano tenaaaaaaaaaaaaaaa
Sawa mama umeeleweka. Ila usingle mother/father ni matokeo ya sababu nyingi. Siyo hiyo tu ya kuzalishwa/kuzalisha na kutelekezana! Hata kufiwa pia ni sababu nyingine, ya kukufanya uwe single mother.Napitia Uzi kibao na comment mbalimbali nikiona wanaume wanawakashifu masingle mother wakati wimbi Ili la masingle Maza wamesababisha wao Kwa kukwepa na kukimbia majukumu Yao. Wimbi kubwa la Wanawake saiv ni singo Maza mwingn aliolewa kaachika na watoto kaachiwa ndo maan wa mama wamejaa mabarabaran wakitafuta rizk tofaut na miak ya zamani