MASIMBA MMETUCHOMEKA TUMECHOMOA KI AINA yanga oyeeee

MASIMBA MMETUCHOMEKA TUMECHOMOA KI AINA yanga oyeeee

Shukuruni kavumbago na mshabikikuondoa taulo msingefunga
 
Kuna pepo la uwoga jangwani, na likiendelea iv bila shaka mtaanza ogopa hata mafuriko pale home kwenu....cmba mbofu co kwa yanga....

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ivi yule shabiki imekuaje jamani?(aliyetoa taulo)
 
Mkuu me sijaiona hiyo mechi ilikuwaje akatoa taulo?au alikija amelivaa uwanjani?

Taulo ni la kipa ivo mapunda alikua kalitundika juu ya goli sasa wachezaji wa yanga wakaona kama linawazuia kufunga wamejaribu kulitoa simba wakalirudisha sasa kuna shabiki wa yanga ndo alilitoa sasa ndo sijui imekuaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom