Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,849
- 37,556
Maajabu ya ccm kuwaonea huruma cdm
.......
jamani uongozi mzuri ni kuwa transparent kwa maamuzi ufanyayo kwa watu na siyo unaposhindwa kuwaeleza vizuri watu wakaelewa kwamba huyu mtu mlituaminisha ni fisadi na fisadi papa harafu leo anakuwa msafi tena ghafra et watu wasishangaee....?.na kama watu hawamuelewi waombewe kwa Mungu kana kwamba jambo hili ni Nmuujiza ambao hauwezi kueleweka mpaka maombi?.
.......
nasema hivi kwani kuna kila moja anaongea la kwake kuhusu mzee wangu dr. slaa na kijana mchapa kazi mh Mnyika ambao kimsingi mkubwa wa chama chetu tukuka. lakini kwa bahati mbaya sijamskia kiongoz yeyote akisimama kutolea maelezo kuhusu hili na wala sijasikia wahusika wenyewe wakisema lolote zaid ya kanusho la dr. slaa jana harafu tunaendelea kutumainishiwa et mambo shwari. kwa mwanachama mwenye kukipenda chama chake leo na miaka thelathuni ijayo angependa kujulishwa kuhusu hali ya kisiasa ndani ya chama chake hasa ktk wakat huu mgum.
kuna watu wanadiriki hata kumtusi mzee wetu et anaziraziri na kejeri nyingi , mtu ambaye kimsingi amekifia chama na kuukumba ulemavu wa kudumu halafu tuseme et anazirazira? kwa nini asizile wakati wa mapambano makali ya kudhalilishwa na askali na kuumizwa? ...