DURUYAPILI
Senior Member
- Apr 23, 2015
- 132
- 47
Habari wadau
Nimeifuatilia move hii ambayo wengine wanaoita kwa majina tofauti tofauti kama season nk. mimi kama mpenda mabadiliko na maendeleo ya nchi yangu, maumivu ya moyo huzidi hasa pale inapoonekana kuna kitu hakiendi sawa harafu watu wanajivika miwani nakuona kana kwamba hakuna kinachoendelea.
Namkubali sana kiongozi wangu wa chama taifa. mh. Elkael Mbowe, ni mtu shupavu, mpiganaji, mwenye uwezo wa kuchukua maamuzi magumu kwa wajasilia mali tungemwita ni risk taker mara anapoona opportunities katika field ya siasa. Nitakuwa ni mnyimi wa fadhira kama nitaacha kumtaja mh. Mbowe kuwa ndye alini inspire katika harakat za siasa za vyama vingi mwaka 2005 ambapo aliipeperusha bendera ya chama. hakika nilifrijika sana.
Naomba nisifanye lisara ndefu sana niende kweye point ya msingi.
.pamoja kwamba mzee MBOWE namwita ni risk taker mzuri na mshauri maamuzi yake yaelezwe wazi kwa wadau.
Nakumbuka ktk hotuba yake alitamka maneno haya......kama kuna watu wanaona kitendo cha mimi kumkaribisha mh. lowasa basi nawaombea kwa Mungu busara waweze tambua.....na kama kufukuzwa uenyekiti kwa hili nipo tayari.......
jamani uongozi mzuri ni kuwa transparent kwa maamuzi ufanyayo kwa watu na siyo unaposhindwa kuwaeleza vizuri watu wakaelewa kwamba huyu mtu mlituaminisha ni fisadi na fisadi papa harafu leo anakuwa msafi tena ghafra et watu wasishangaee....?.na kama watu hawamuelewi waombewe kwa Mungu kana kwamba jambo hili ni Nmuujiza ambao hauwezi kueleweka mpaka maombi?.
Ni kweli tunapenda mabadiliko lakini tunapenda mabadiliko yenye kufuata democrasisia na uwazi ndo nguzo yake. hivi inakuwaje mtu aliyejulikana ni fisadi kwa jamii nzima tunamkaribisha ktk chama bila mashart yoyote ile na kama hiyo haitoshi anapewa lidhaa ya kugombea urais bila competition yoyote ile?
lnawezekana mwisho mzuri which is still probability, lakini means ilotumika ni mbovu je mshikamano wetu utaendelea kama sasa. tumeshafikiria kama tutashindwa uchaguzi huu vipi itakuwa hatima umoja na mshkamano wetu kama chama. je huyu tuliyemkaribisha ataendelea kutuunga mkono au lengo lake ni uras tu?
pamoja na hayo yote tunelidhiana vizuri ndani ya chama nakujiridhisha kama letu ni moja na kila mmoja wetu anaweza kusimama kwa ujasiri kabisa kuyatetea maamuzi yalofikiwa au awchache tu ndo watakoweza.
nasema hivi kwani kuna kila moja anaongea la kwake kuhusu mzee wangu dr. slaa na kijana mchapa kazi mh Mnyika ambao kimsingi mkubwa wa chama chetu tukuka. lakini kwa bahati mbaya sijamskia kiongoz yeyote akisimama kutolea maelezo kuhusu hili na wala sijasikia wahusika wenyewe wakisema lolote zaid ya kanusho la dr. slaa jana harafu tunaendelea kutumainishiwa et mambo shwari. kwa mwanachama mwenye kukipenda chama chake leo na miaka thelathuni ijayo angependa kujulishwa kuhusu hali ya kisiasa ndani ya chama chake hasa ktk wakat huu mgum.
kuna watu wanadiriki hata kumtusi mzee wetu et anaziraziri na kejeri nyingi , mtu ambaye kimsingi amekifia chama na kuukumba ulemavu wa kudumu halafu tuseme et anazirazira? kwa nini asizile wakati wa mapambano makali ya kudhalilishwa na askali na kuumizwa?
ombi langu kwa viongozi wajaribu kikaa na mzee huyu na kufikia agreement nzuri.. kwan hakuna asiyejua kuwa hyu mzee ni lulu si tu kwa chama bali kwa taaifa kwa falsafa na misimamo yake ktk kulikomboa taifa hili kwa changamoto nyingi badala ya kuanza kumdhihaki bila kujua what wrong has gone somewhere.
najua uzi huu utawakwaza wengi lakini ukweli lazima uwe spoken out ili kama tumekosea somewhere turekebishe ili tujenge chama bila kuharibu dira na malengo ya kulikomboa taifa letu
Namaliza kwa kusema THE MEANS SHOULD JUSTIFY THE END FOR DECISION TO BE RETIONAL AND NOT THE END TO JUSTIFY THE MEANS