Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
M pm faiza fox
M pm faiza fox
Acha ugomviM pm faiza fox
Nakumiss sana Inna wanguAcha ugomvi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]masharti nn??
Mwache njoo kwangu mimi mpole mwaya![emoji4][emoji4][emoji4]Acha ugomvi
nitakuvua kama samaki ujueMwache njoo kwangu mimi mpole mwaya![emoji4][emoji4][emoji4]
Umenifanya nichekeHuyo mganga wako kiboko...
Wakati sisi maustadh tunaruhusiwa kugonga kwenye mazingira magumu hebu fikiria jaribu kuashumu upo kwenye mazingira kama Jamaa waliofukiwa kwenye kifusi wakala mende ingekuwa ni ww ukapata options mbili kati ya mende na utumbo wa kitimoto ungechagua nn mkuu?[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] supu ya utumbo wa nguruwe sijanywa aiseee hata niwe kwenye wakati mgumu vp...
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshasema kwenye mazingira magumu hapo,lkn ktk hali ya kawaida au labda nna uwezo wa kuvumilia hiyo njaa kwa masaa mawili matatu...Wakati sisi maustadh tunaruhusiwa kugonga kwenye mazingira magumu hebu fikiria jaribu kuashumu upo kwenye mazingira kama Jamaa waliofukiwa kwenye kifusi wakala mende ingekuwa ni ww ukapata options mbili kati ya mende na utumbo wa kitimoto ungechagua nn mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana JF, nawakumbushia tena ya kwamba bado nahitaji masikio ya Nguluwe.
Masikio yawe mabichi au yamekaushwa juani tu sio kwa moto au mafuta, yawe marefu, mapana na manene.
Pair moja yaani masikio mawili nitakupatia sh. 1000/=, ni PM kama unayo.
Nahitaji jumla ya masikio kama 250 hivi.
Mkuu ulipata hayo masikioo?Nahitaji masikio ya kitimoto halaka iwezekanavyo.
Masikio yawe 100 hadi 150 jumla. Yawe makubwa makubwa na manene manene.
Nipo Dar.