Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,760
- 14,005
sasa kama sio kazi rahisi kwa nini mliahidi kuwa zoezi halitazidi miezi miwili? ....na hiyo haraka unayoizungumzia ni ipi?Mambo mazuri hayataki haraka,tukumbuke kuwabaini na kuwatoa wafanyakazi hewa cy kz rahisi.....
mwaka mzima watu wanapigwa danadana tu halafu mnasema eti mambo mazuri hayataki haraka? hamjui tu watu wanateseka kiasi gani pengine msingekuwa mnawazihaki watoto wa masikini kiasi hiki