Ngurubhe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,840
- 1,049
Ni kweli tumeingiziwa huku lakini hakuna ongezeko lolote,mim naona tungeendelea tu na shemeji yule wa kwanza angalau yeye alikuwa akija kila mwaka anauheshimu mkataba.
Shemeji huyu hata za kupanda madaraja alitupa mara moja tu akasema hataki tena,sijui shemu kwanini yuko hivi sjui ndio waleashemu wabairiiii!!?
Lakini shemu mwenyewe anafanya kimya kimya kaanza tu kuwapa Wakuu wa shule 2.5 ili wawabane wenzao vizuri kumbe huku ndio kuisom namba!!?? Sasa najiuliza namba yenyewe ndio ipi?
Sjui ndio katengua mktaba na watumishi wote maana miktaba iko wazi kuwa kila mtumishi ataongezewa mshahara hata kama ni elf1 lakini kuweko ongezeko sasa tangu july shemej huyu noma yuko kimyaa.
Anajua kama hali ni ngumu huku mtaani,alishakataza tuition,alishakataza michango,alishakataza kuuza ubuyu,na mda wote walimu wawepo kazini wasifanye shughru zingine kujipatia kipato kwani wanayopata inawatosh.
Chezea shemu namba 2 ww wew,kama yulee tulimwambia shem unatuachaje sijui huyu tumwambie shem umekujaje? Au tutashitakiwa kwa uchocheziii ihmmm hapa kweli tutaisoma namba!!!
Labda ni kwa sababu wale wanaotutuaga bungeni walitoka hivyo wakabaki wale wanaoteteaga masirahi yao tu?
Daaa bora msingetoka bna huenda kwenye budget na sisi walimu tungekumbukwa..
Saivi wametgawa..devide and rule wakuu wanacho chao kidgo sisi pyaaaaa
