Masikini Vengu wa Original Comedy

FTP

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
514
Reaction score
240
Nataka kujua huyu jamaa yuko wapi na afya yake ikoje.Hakuna Updates zozote juu yake. kwa nini

 
daaa..! ilakweli wangwana huyu jamaa yupo wapi mbona kapotea hivi au bado yuu mgnjw..?
 
Masanja atuambie. Mbona mambo yake yako juu ilhali huyu ni mwenzake halafu Masanja ni mutu wa karibu sana na wakinga
 
Reactions: FTP
Masanja atuambie. Mbona mambo yake yako juu ilhali huyu ni mwenzake halafu Masanja ni mutu wa karibu sana na wakinga

kwenye utafutaji hayo mambo ya kawaida
 
Kwlei huyu jamaa kimya sana au bado maradhi yanamsumbua
Mungu ampunguzie uzito wa maradhi yanamsumbua na kumpa afya njema ikiwa bado ana umwa
 
Kweli hujafa hujaumbika , jamaa tia maji tia maji
 
Mara ya mwisho nilpokutana kabla ajaanza kuumwa,alinialika mahali,nlposikia anaumwa nimejaribu kumfatilia sana kupitia hao hao kina mpok,masanja kwenye akaunt zao za fb lakn awakujibu ki2.Jamaa nilsoma nae ktambo hcho.Tunaitaj kujua habar zake tufahamishane
 
Wakinga huutoa vyao 'bee toa kamoja kalee wenzie wanne bbe'

Masanja atuambie. Mbona mambo yake yako juu ilhali huyu ni mwenzake halafu Masanja ni mutu wa karibu sana na wakinga
 
wamemtelekeza ....au wamemtoa sadaka nini mwenzao maana unaambiwa masanja ana ndinga kali balaa hakuna muigzaj mwenye mtonyo km mkandamizaji
 
Kama angekuwa kapelekwa Afrika kusini, tayari angekuwa kashazikwa bahati yake hawakumpeleka huko coz angekuwa ka mgimwa na yule jamaa wa katiba nanii dr.vyungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…