S Sahir Punzy Member Joined Jan 13, 2015 Posts 86 Reaction score 55 Jun 24, 2015 #1 dah! simu yangu ishakufa tena imekataa kuweka 2.3 kwa kutumia odin katika kile kibox cha juu kinacho andika pass kimekataa na kinaandika fail harafu sasa inawaka display nyeupe hata RECOVERY MODE haipo yaani kioo cheupe kabisa
dah! simu yangu ishakufa tena imekataa kuweka 2.3 kwa kutumia odin katika kile kibox cha juu kinacho andika pass kimekataa na kinaandika fail harafu sasa inawaka display nyeupe hata RECOVERY MODE haipo yaani kioo cheupe kabisa