Eti ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani?
Haya maneno walishanena wazee tangu zamaniii ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ndani, masikini roho yangu mimi we niachie nenda zako. NI KWELI ANACHOKISEMA HUYU MCHEZA KUDUKU?

sijaelewa.......au ndo huu uzee wangu
ndo nani huyo rich mavoko