oyeiko ngeleja
Member
- Oct 16, 2013
- 58
- 39
Hotuba ya raisi iliyoandaliwa na wasomi wote wa ccm kwa ufanisi mkubwa sana na mbaya zaidi hotuba iliandaliwa kwa miezi kadhaa ili kumzima warioba na tume yake cha ajabu kafulila ameweza kuijibu kwa dakika 30,hii ni hatari kweli ni heri kafulila angekuwa raisi na siyo kikwete,tuweke itikadi pembeni taifa kwanza,mpe neno kafulila.