Masikini Kikwete

Mkapa ni kweli alikuwa amemsusa ,ila hapo kinachofanyika ni ku-pretend tu ili siku ziende,yule ni mtu mzima na anajua ni jinsi gani maneno yalivyotapakaa kuwa kikwete amebakia na familia yake kwa kampeni,kwa hiyo ili kujiondoa ili asionekane kuwa ni kikwazo ndio hivyo unavyoona.
kwani walikuwa wapi siku zote hizo? watu walishaamua zamani tu kuwa wanataka mabadiliko na mtarajiwa wao ndio huyo Slaa.:smile-big::bowl::doh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…