Expedito Mduda
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 545
- 268
Kwa kweli mwezenu ni mshabiki mkubwa sana wa rais mstaafu Benjamin Mkapa.
Leo ameniboa mpaka mwisho. Hivi sijaelewa kama rais wetu mstaafu ameongea toka moyoni!
Kutoka leo si shabiki wake tena.
Nahisi mambo mabaya yanayoongelewa kumhusu ni ya kweli au!
AMENICHANGANYA KWELI MZEE HUYU!! Hawa jamaa hivi hawajui chochote kuhusu ufisadi!!
AMENICHANGANYA KWELI MZEE HUYU!! Hawa jamaa hivi hawajui chochote kuhusu ufisadi!!
This definately is the force behind....He had to come out in defense of JK. Remember, he is in the "LIST OF SHAME" liable for prosecution when Slaa takes over. As it stands right now to him, JK is a lesser evil.
Kwa kweli mwezenu ni mshabiki mkubwa sana wa rais mstaafu Benjamin Mkapa.
Leo ameniboa mpaka mwisho. Hivi sijaelewa kama rais wetu mstaafu ameongea toka moyoni!
Kutoka leo si shabiki wake tena.
Nahisi mambo mabaya yanayoongelewa kumhusu ni ya kweli au!
AMENICHANGANYA KWELI MZEE HUYU!! Hawa jamaa hivi hawajui chochote kuhusu ufisadi!!
nilishasema toka mwanzo hapa watu wakanizomea, kura sio suluhisho kwasababu watachakachua, suluhisho la kweli ni maandamano,migomo na watu tuhame kutoka kwenye nyumba zetu tuhamie barabarani hapo watang'oka. tukifanya kama wale wa KRIGSTAN watang'oka tu.Binafsi pamoja na upuuzi wake aliofanya, i still respect him...lakini kwa hapa ameniboa mbaya sana. Let us wait......lakini kwa nionavyo mimi is better tuandae vijana kuingia mstuni kuikomboa nchi...otherwise itakuwa aibu, shida, na matatizo makubwa zaidi.
Exactly- He was looking scared and sounded stupid. Panic has set in.He had to come out in defense of JK. Remember, he is in the "LIST OF SHAME" liable for prosecution when Slaa takes over. As it stands right now to him, JK is a lesser evil.