Swali je umemuelewa?if yes then tatizo ni nini?sikuwahi kuwaunga mkono waliokuwa wanamzogoa Kanumba wakati alipolazimika kuongea kiingereza huko BBA, lakini hii baada ya kuingia kwenye tovuti yake kwa kweli imebidi na mimi niongee kitu.
hivi kwani huyu dogo kama angeandika biography yake kwa kiswahili angepungukiwa nini? maana hicho kiingereza alivyokichanganya kwa kweli mpaka kinatia kichefuchefu.
nakumbuka wakati anawalalamikia waTz kwa kumsema vibaya nakumbuka alisema kuwa mbona kuna wasanii wengi wakubwa hawajui kiingereza na hakuna mtu yoyote anayewasogoa, ingawa dogo kuna kitu alisahau, kuwa hao wasanii wakubwa wasiojua kiingereza huwa hawa pretend kujua kiingereza hata kidogo, kila wanapohojiwa na vyombo vya habari vya kimataifa wataongea lugha waliyoizoea na hicho chombo cha habari kitakuwa na jukumu la kutafuta namna ya kutafisiri hayo mazungumzo.
sasa yeye amevuruga kila kitu kwenye hiyo tovuti, eti "I originate from Shinyanga region in Tanzania" au "I was given birth on january 8th 1984"
nisimalize utamu, bonyeza hicho kiunganisho cha tovuti hapo chini tusaidiane kulalamika
http://www.kanumba.com/Biography.html
kaka,sikuwahi kuwaunga mkono waliokuwa wanamzogoa Kanumba wakati alipolazimika kuongea kiingereza huko BBA, lakini hii baada ya kuingia kwenye tovuti yake kwa kweli imebidi na mimi niongee kitu.
hivi kwani huyu dogo kama angeandika biography yake kwa kiswahili angepungukiwa nini? maana hicho kiingereza alivyokichanganya kwa kweli mpaka kinatia kichefuchefu.
nakumbuka wakati anawalalamikia waTz kwa kumsema vibaya nakumbuka alisema kuwa mbona kuna wasanii wengi wakubwa hawajui kiingereza na hakuna mtu yoyote anayewasogoa, ingawa dogo kuna kitu alisahau, kuwa hao wasanii wakubwa wasiojua kiingereza huwa hawa pretend kujua kiingereza hata kidogo, kila wanapohojiwa na vyombo vya habari vya kimataifa wataongea lugha waliyoizoea na hicho chombo cha habari kitakuwa na jukumu la kutafuta namna ya kutafisiri hayo mazungumzo.
sasa yeye amevuruga kila kitu kwenye hiyo tovuti, eti "I originate from Shinyanga region in Tanzania" au "I was given birth on january 8th 1984"
nisimalize utamu, bonyeza hicho kiunganisho cha tovuti hapo chini tusaidiane kulalamika
http://www.kanumba.com/Biography.html
Ni kweli ni vema akashauriwa kwenye hiyo tovuti yake, maana inawezekana kabisa hajapata mshauri mzuri. Alitakiwa angalau apate mtu wa kumfanyia 'editing' kabla hajaileta hewanikaka,
mbona unamrekebishia kanumba huku jamii?
huku huwa haingii kabisa, wee mcheki kwenye global publisher na michuzi,
huko utamkuta kisha utamwambia ni wapi akarekebishe kwenye ukurasa wake huo wa wavuti
Ukiwa public figure ni lazima u-manage your image.... Kanumba angetakiwa atafute ushauri kwani kumbukeni kuwa internet ni ya ulimwengu mzima, and people from everywhere will judge you on that....na ukiwa public figure you have to be aware of that. Mi nadhani mchangiaji katoa ushauri mzuri na mashabiki wake wangefany ala busara kumshauri abadili na kuiweka katika standard English...
Swali je umemuelewa?if yes then tatizo ni nini?
Kanumba nampa tano hadi hapo alipo ameworkhard sana.Je wewe unaeijua vizuri lugha ya mkoloni umefanya nini,imagine unakufa leo utakumbukwa kwa lipi?
Kanumba anapiga shule sasa.mwacheni kama kumzodoa mmemzodoa sana na naamini akijifunza kutokana na makosa

nimeipenda hiiMatatizo ni mengi tu,
1) Kueleweka pekee si lengo pekee la lugha.Lazima kuwe na misingi iliyokubalika inayofuatwa. Hata kama mtu ataelewa lugha isiyo sahihi, msemaji hana guarantee kwamba ametumia lugha sahihi inayotakiwa kueleweka na kama msomaji/ msikilizaji hataelewa hili litatokana na mapungufu yake.In other words, ukitumia lugha isiyo fasaha, unafanya bahati nasibu kuhusu kueleweka kwako. Huu msemo wa "kama umeelewa tatizo ni nini" unaonyesha uzembe wa kufikiri na kukubali mediocrity. Kwanza ushaanza kusema tatizo ni nini kabla ya kujua kama kaeleweka au hajaeleweka, nikikwambia sijamuelewa kwa sababu katumia lugha ya ajabu, utasemaje?
2) Hili jambo linaonyesha tatizo kubwa kuliko la lugha tu.Ina maana huyu mtu haelewi kitu kinachoitwa proof reading.Inaonyesha huyu bwana hajui kitu kinachoitwa ukalimani.Inaonyesha huyu bwana hana team nzuri, yeye mwenyewe si team player pia.Kwa sababu hata mtu asiyejua kiingereza vizuri anaweza kuongea na watu wakamuandikia kitu kizuri tu, au akaenda sehemu akasema mimi kiingereza sijui vizuri lakini nina mambo mazuri ya kusema na kufanya, nahitaji kuongea kiswahili na mtu anifanyie ukalimani, watu watamuelewa.
Jana nilikuwa namuangalia kijana mmoja wa bongoflava kutoka X-PLASTAZ, wanarudia rudia BET Video Awards, kijana huyu alirap na malegends wa hip hop kama kina KRS-1 na wengine wanaochipukia siku hizi, yeye alirap Kiswahili, wakawa wanaandika captions za kiingereza, alifanya vizuri tu, mpaka KRS-1 akawa anajisikia self conscious line ya KRS-1 ya kwanza ilikuwa "I can't rap in Swahili, but...." yaani pale ku rap Kiswahili ilikuwa ni kitu cha ujiko,kitu fulani exotic.
Sasa basi, wanaokuja kumtetea Kanumba kwa minajili ya kujivunia culture yetu wanakosea,kwa sababu watu wanaopenda culture yao hawatumii lugha za wenzao.Wafaransa kibao wanajua kiingereza lakini ukienda Paris na kusema kiingereza wanajifanya kama hawajui, wanataka ujifunze kifaransa. Fidel Castro anajua kiingereza lakini interview zake zote anaongea Kihispania cha Cuba na wakalimani wanatafsiri.
Sasa kwa mtu anayejidai kukumbatia utamaduni wetu, huku kujikaragosi kwa kukumbatia lugha ya kiingereza ambayo hatuijui ndiko kutukuza utamaduni wetu? Mimi ningemtegemea mtu anayependa utamaduni wetu, hata kama ni msomi anayejua kiingereza cha Mkapa, ningemtegemea atumie kiswahili as a matter of principle, sembuse huyu mnyanyapuaji?