Mkuu za mtwara kwanza,
Ok, huko mbali ni wapi??. Nijuavyo Bayern alikotoka ndio mbali ukilinganisha na akikobakiza. Mpaka kufika hapo amecheza mechi 10 za UCL na kabakiza 3 tu abebe ndoo. Namanisha nusu na fainali. Tuweke sawa bhana na kama ni hasira za kufungwa Porto tujue!! .
kwa kipigo hiki wanachokipata leo bayern dhidi ya porto kwa kweli guardiola inatakiwa ajipange sana ili aweze kutamba champions league.baada ya kutoka ratiba ya robo nilisema bayern wamepata kibonde,kumbe.........