Masikini Bahanunzi na Babi...........!!!

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Kwa Babi naweza kusema mbio za sakafuni ......lakini kitendi cha Bahanunzi kupelekwa kwa mkopo Mtibwa Sugar, ni funzo kubwa kwa wachezaji wengi (of course kama wanajifunza) huyu jamaa alisota na mkewe mahsamba ya miwa kisha alipokuja mjini na kutupia tugolo sita Kagame akahama na nyumba kwenda kuishi na vimada, hata nywele akabadili rangi..matokeo yake msimu mzima akafunga goli moja tyu tena la tuta dhidi ya Simba, ona sasa yanayomkuta etui anapelekwa kwa Mkopo hukohuko Mtibwa.........yaani anarudia kwenye mashamba ya MIWA
 

Yap, the same case kwa Kavumbagu. Jiju limempokea vilivyo, na kijana hana hiyana.
 

tatizo lako huwa sijui unakuwa unakunywa viroba ndio unaandiko etui sijui vigolo full kunichanganya tu..
 
tatizo lako huwa sijui unakuwa unakunywa viroba ndio unaandiko etui sijui vigolo full kunichanganya tu..
Pole sana Ndetichia, sasa vimeisha kichwani, nilimaanisha TUGOLI (magoli) SITA
 
nasikia anamlaumu Kaseja kwani alipomfunga kwa penati akamtukana kisha kuambiwa "utaona"
 
sasa anahangaika kwa Babu bila kujua kwamba majimama yamemmaliza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…