Endeleeni kujipa moyo! Huyu Chokoraa miwisho wake ni october 2015.
Ile operesheni yenu ya delete CCM arusha mlikua na maana gani? Inakuaje CCM inapata mitaa 78 na Chadema 75??? What does delete futa CCM arusha mean to your head??? Wanafiki wakubwa nyie
Mleta thread ni mpuuzi kwani sioni alichokiandika. Na ccm waendelee kujipa moyo kwamba arusha watairudisha mikononi mwao. Kama ccm ni wajanja, wakimbilie kule vijijini wakaendelee kuwadanganya wananchi, huku mjini hakuna chenu
Ccm ni viumbe vinavyotoweka kwa kasi sana hapa arusha
kutoka mitaa 148 2009 hadi mitaa 70 tena mingine kwa kupewa na mapolis?
Arusha Lema ndio kaiharibu
si ndio nyie mlisema ccm imefutwa arusha?Kwa akili zako nyepesi unaona mmeshinda kweli kwa 78, ulizia takwimu zilizopita mlishinda kwa ngapi na leo pamoja na wizi wote mmepata almost pasupasu na chadema. Kumbuka vyqma vyq upinzani havikuwa mashinani kabisa, now you talk about 50 to 50, is a big fall for ccm. Na subirini 2015, mtapata shida. Makada wenyewe wa ccm wanakiri hali ni ngumu arusha