Masikini Arusha Yetu

Mleta thread ni mpuuzi kwani sioni alichokiandika. Na ccm waendelee kujipa moyo kwamba arusha watairudisha mikononi mwao. Kama ccm ni wajanja, wakimbilie kule vijijini wakaendelee kuwadanganya wananchi, huku mjini hakuna chenu
 
Kweli uzee dawa sisi wazee wa ccm matumbo yanatuuma hatupati picha kabisa ya kupona 2015 hata kwa darubini

Kwa akili yako 2015 ukawa mtashinda Urais????? Hata nusu ya vijiji hamja chukua mnaendelea kujifariji hapa wanafiki wakubwa nyie
 
Mleta thread ni mpuuzi kwani sioni alichokiandika. Na ccm waendelee kujipa moyo kwamba arusha watairudisha mikononi mwao. Kama ccm ni wajanja, wakimbilie kule vijijini wakaendelee kuwadanganya wananchi, huku mjini hakuna chenu

Ile operesheni yenu ya delete CCM arusha mlikua na maana gani? Inakuaje CCM inapata mitaa 78 na Chadema 75??? What does delete futa CCM arusha mean to your head??? Wanafiki wakubwa nyie
 
Ile operesheni yenu ya delete CCM arusha mlikua na maana gani? Inakuaje CCM inapata mitaa 78 na Chadema 75??? What does delete futa CCM arusha mean to your head??? Wanafiki wakubwa nyie
Wewe ni mpuzi kama choo chadema tulikua namita 6 tu mwanzoni sasa hivi ni 75 sasa hapo tumeifanyaje ccm?
 
Kwa akili yako 2015 ukawa mtashinda Urais????? Hata nusu ya vijiji hamja chukua mnaendelea kujifariji hapa wanafiki wakubwa nyie
Unafurahia ushindi wa wizi na ulaghai? Sasa wewe una tofauti gani na mzee wa vijisent chenge.... uchaguzi unasimamia wewe na wakati huo huo unashiriki... refa anashiriki mchezo, yaani ana timu inayo cheza na yeye yuko kati na akikosea hamna wa kumuuliza....only in Tz and Uganda..m
 
Kwa nini unaulilia? Siasa za uhasama wakati mkuu wa mkoa alisema Arusha wakati wa uchaguzi kulikuwa shwari na kuwaalika watu watembelee hilo jiji? We ni mwongo.
 
kwa akili yako 2015 ukawa mtashinda urais????? Hata nusu ya vijiji hamja chukua mnaendelea kujifariji hapa wanafiki wakubwa nyie

kwani hapo arusha wakati cdm inashinda ubunge ilikuwa na wenyeviti wangapi wa mitaa?
 
Ile operesheni yenu ya delete CCM arusha mlikua na maana gani? Inakuaje CCM inapata mitaa 78 na Chadema 75??? What does delete futa CCM arusha mean to your head??? Wanafiki wakubwa nyie
sasa wewe unachojivunia ni nini hapa, ccm kutoka viti 146 hadi viti 78 au cdm kutoka viti 7 hadi viti 75?
 
Ile operesheni yenu ya delete CCM arusha mlikua na maana gani? Inakuaje CCM inapata mitaa 78 na Chadema 75??? What does delete futa CCM arusha mean to your head??? Wanafiki wakubwa nyie
sasa wewe unachojivunia ni nini hapa, ccm kutoka viti 146 hadi viti 78 au cdm kutoka viti 7 hadi viti 75? Kwa hesabu hii ccm imepoteza viti 68, cdm imeongeza viti 68 nani mshindi hapa?
 
Arusha Lema ndio kaiharibu
Ndoa yako iko mashakani sema tu wee ----- hujui!! Kila siku usiku huwa unamwota Lema kwaa sauti kuuuubwa!!mkeo alituambia tukabisha ila sasa nimeamini.
Kwani lema aliondoka na 171----yako?si aliitumia tu na kuiacha?mbona unamuwaza sana?
 
Tatizo ni LEMA.

Anaondoka 2015.

Kweli nimeamini alichosema Mzee Tupatupa,CCM mnamuhara kweli kijana machachari Lema Godbless.Ataendelea kuwa Mbunge mpaka atakapoamua kuacha hutaki hamia Mkoa wa Pwani.
 
Arusha ilikuwepo ipo na itaendelea kuwepo hadi mwisho wa wakati... CCM itakufa, madini yatatoweka tukiwaachia CCM na Tanzante-Riz1 ... wanyam watatoweka kwa kasi hii ya ujangili na kuwanjia kwenye ndege za kijeshi.. CCM Must go kwa maslahi mapana si ya wanaarusha pekee bali Watanzania wote..
 
Kweli nimeamini alichosema Mzee Tupatupa,CCM mnamuhara kweli kijana machachari Lema Godbless.Ataendelea kuwa Mbunge mpaka atakapoamua kuacha hutaki hamia Mkoa wa Pwani.

Endeleeni kujipa moyo! Huyu Chokoraa miwisho wake ni october 2015.
 
Endeleeni kujipa moyo! Huyu Chokoraa miwisho wake ni october 2015.

tatizo la ccm mnataka kuyabaka maamuzi halali ya watanzania lema hakuchaguliwa na mama yake ni watu wa arusha na hao ndo wenye hak ya kumwondoa we msalan katoe maamuzi kwa mende wenzio uko chooni
 
tunaitaka arusha ya wananch sio wanasiasa jamaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…