MKUDE SIMBA JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 305 Reaction score 168 Aug 6, 2015 #1 Habari wakuu, kwa muuzaji wa mashuka ya mahotel jumla au kama unamfahamu anayeuza kwa bei ya jumla naomba uni pm. siku njema.
Habari wakuu, kwa muuzaji wa mashuka ya mahotel jumla au kama unamfahamu anayeuza kwa bei ya jumla naomba uni pm. siku njema.
kanyagio JF-Expert Member Joined Dec 10, 2009 Posts 1,021 Reaction score 374 Dec 6, 2020 #2 Helllo na mimi nahitaji. Mwenye kuwa nayo email nat867@gmail.com
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 18,077 Reaction score 25,749 Dec 6, 2020 #3 Mashuka unanunua yoyote sema unaenda kuprint jina la hotel husika