Mashuka ya cotto100%

ntolly

Member
Dec 21, 2016
84
39
Sheets To_Go ni mashuka kutoka Kampala-Uganda,,ni pure cotton(pamba 100%)
8*8 @80000(shuka 2 na foronya 4)
6*6 @70000(shuka 2 na foronya 4)
Jumla kuanzia pea 10
8*8 @65000
6*6 @55000
Kwa waliopo Dar derivery ipo, gharama ya usafiri juu ya mteja,,na waliopo mikoani mtatumiwa
Tunapatikana Sinza Mori

Karibuni
d6921e4634751ad5f27ec22af08e9826.jpg
 
Mkuu hiyo bei hupati mtu, mm niko mkoani tena central zone nilinunua dar nikatumia hadi nilipo kwa 55000 yaani hapo gharama za kusafirisha ni za muuzaji sasa kwa hiyo bei yako subiri wa dar tu kama watakuunga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom