Usibishane na Wateja, bali unapaswa kuwajibu kwa hoja. Kuna hawa wanaitwa Discount Center hayo Mashuka bei ni Tshs. 45,000/=. Wanazo mpaka Duvet saaaafi za Cotton bei 65,000/= usilete ubishi kama MUHA ebbooo. Ukipewa neno kama mfanyabiashara wajibu wateja kwa mbinu za kibiashara lkn wewe unajibu kama Konda wa gari la Mbagalla. Soma weweeeeeeNipeleke wanapouza 45 na iwe pure cotton kama hii na ukubwa huu 8*8
