Unajichanganya sana comrade.Tunajua Mashujaa ni moja ya timu zenye udhamini wa GSM na tunajua yale yanayofanyika nyuma ya pazia kwa timu zote zinazodhaminiwa na GSM pale zinapocheza na Yanga. Hili halina ubishi maana tumepata ushahidi usio na shaka.
Hata hivyo, katika mechi hii inayokuja ya Mashujaa vs Yanga inayoenda kuchezwa mwisho wa reli, Mashujaa inaenda kukaza na itaifunga Yanga.
Sitaenda ndaani sana kuelezea sababu ya hili kutokea ila kama una nyumba ya urithi weeekaaa, kama unaweza kukopa kwenye kikoba au hata kausha damu weeekaaa mzigo wote, kama kuna mtu amekupa pesa yake umshikie weeekaaa, kama unaweza kuchukua pesa ya mwajiri wako weekaaa. Utakuja kunishukuru baadae.
Kwenye maelezo yako ya mwanzo umesema Mashujaa watashinda! Sasa hivi unaleta porojo!Timu inadhaminiwa na Haier, G-Boost, SportPesa na GSM ndiyo iende kuifunga Utopolo kuvuruga harakati zake za ubingwa?
Hii kitu umejua baada ya ushindi wa yanga au kabla? Kama ulijua tangu zamani basi Uzi wako ni wa kipumbavu
Mashujaa itashindaje wakati wanapata penati wananyimwa? Watashindaje wakati Hersi Saidi ambaye ni mdhamini wao mkuu anayelipa gharama zote za timu ikiwemo mishahara yao yupo jukwaani na anataka washindwe?Kwenye maelezo yako ya mwanzo umesema Mashujaa watashinda! Sasa hivi unaleta porojo!
Kwa hiyo Yanga ikimfunga Mashujaa ni kwa sababu ya udhamini! Ila nyinyi mkiwafunga, ni ushindi halali kabisa!Mashujaa itashindaje wakati wanapata penati wananyimwa? Watashindaje wakati Hersi Saidi ambaye ni mdhamini wao mkuu anayelipa gharama zote za timu ikiwemo mishahara yao yupo jukwaani na anataka washindwe?
Hata ungekuwa wewe ni mchezaji wa Mashujaa ungekata mkono unaokulisha?
Hivi unaweza kudauti ule ushindi wa Simba dhidi ya Mashujaa?Kwa hiyo Yanga ikimfunga Mashujaa ni kwa sababu ya udhamini! Ila nyinyi mkiwafunga, ni ushindi halali kabisa!
Imebidi nirudi kuangalia tena kwani nani alianzisha huu uzi? Kweli umechanganyikiwa!!!Timu inadhaminiwa na Haier, G-Boost, SportPesa na GSM ndiyo iende kuifunga Utopolo kuvuruga harakati zake za ubingwa?
Kachanganyikiwa huyo mpeni poleUnajichanganya sana comrade.
Kama timu yako haijafungwa 5 na Yanga basi nyoosha kidole, fanya kama unajikuna.Timu inadhaminiwa na Haier, G-Boost, SportPesa na GSM ndiyo iende kuifunga Utopolo kuvuruga harakati zake za ubingwa?
Kama timu yako haijafungwa 5-0 na Simba basi nyoosha kidole, fanya kama unajikunaKama timu yako haijafungwa 5 na Yanga basi nyoosha kidole, fanya kama unajikuna.
Mi sidhani kama umejibu swali langu. Tangu mwanzo hukujua kwamba hersi atataka mashujaa wafungwe? Kama ulikuwa unajua ulileta Uzi wa nini sasa kusema mashujaa watashinda ikiwa unajua mdhamini wao hataki washinde?Mashujaa itashindaje wakati wanapata penati wananyimwa? Watashindaje wakati Hersi Saidi ambaye ni mdhamini wao mkuu anayelipa gharama zote za timu ikiwemo mishahara yao yupo jukwaani na anataka washindwe?
Hata ungekuwa wewe ni mchezaji wa Mashujaa ungekata mkono unaokulisha?
Kama unanifuatilia humu ndani utakuwa unajua msimamo wangu usio na shaka kuhusiana na udhamini wa GSM na jinsi unavyoharibu ushindani katika ligi.Mi sidhani kama umejibu swali langu. Tangu mwanzo hukujua kwamba hersi atataka mashujaa wafungwe? Kama ulikuwa unajua ulileta Uzi wa nini sasa kusema mashujaa watashinda ikiwa unajua mdhamini wao hataki washinde?
Sasa kwanini ulisema mashujaa atashinda wakati unajua ni tawi tu na lazima watagawa ushindi kwa yanga?Kama unanifuatilia humu ndani utakuwa unajua msimamo wangu usio na shaka kuhusiana na udhamini wa GSM na jinsi unavyoharibu ushindani katika ligi.
Vipi uliweka mzigo wa maana nini ukaliwa, mbona kama umeumia sana?Sasa kwanini ulisema mashujaa atashinda wakati unajua ni tawi tu na lazima watagawa ushindi kwa yanga?
Lakini mlionywa kuwa hicho mnachokiwaza hakitotokea mkawa wabishi acha mliweVipi uliweka mzigo wa maana nini ukaliwa, mbona kama umeumia sana?
Mimi mwenyewe nimepoteza buku 10 nilidhani leo kunaweza kutokea miujiza. Yanga haijawahi kutoka hata sare na tawi lolote la GSM, itakuwa ni jambo la kushangaza hilo litokee dakika hizi za lala salama katika mapambano ya ubingwa.
Pole sana kama mkeka wako umechanika.
Kama unanifuatilia humu ndani utakuwa unajua msimamo wangu usio na shaka kuhusiana na udhamini wa GSM na jinsi unavyoharibu ushindani katika ligi.
Takataka za Muddy.