Mashuja 10 wa taifa la Tanzania kwa mwaka 2017

Mashuja 10 wa taifa la Tanzania kwa mwaka 2017

JINOME

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
958
Reaction score
1,427
images-16.jpg


1. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI-Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, rais wa Wanyonge, mwenye uchungu na rasilimali za taifa, aliyejitoa mhanga kupambana na maadui wa Maendeleo(Rushwa, Ufissdi, uzembe kazini n.k)

2. MAJALIWA KASIM MAJALIWA-Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania-Mpambanaji , mwenye maamuzi ya haraka kwa manufaa ya taifa, anayepambana na uzembe kazini, mpinga rushwa, ufisadi.

3. SAMIA SULUHU HASSAN-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania-Mwana mazingira halisi, mtetezi na kipenzi cha akina mama wa Tanzania na Mama wa mfano.

4. DKT. ALI MOHAMED SHEIN-Rais Wa Zanzibar-Mchukia rushwa , ufisadi na uzembe kazini, amefanikiwa kuwaunganisha Wazanzibari na kuwa kitu kimoja

5. Bi. ALLEN KIMAMBO-Mshindi wa Tuzo Ya Ujasiriamali wa Mazingira
inayotolewa na Benki ya Afrika

6. Alphonce Felix Limbu-Mwanariadha aliyetwaa medali ya Dhahabu katika Mashindano ya Riadha ya dunia ya Mumbai Marathon yaliyofanyika nchini India.

7. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda-Jasiri wa kukemea vitendo viovu kama matumizi ya dawa za kulevya, uzembe kazini, mbunifu wa mambo yenye kuwaletea maendeleo wananchi, kudumisha usalama wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuwa karibu na kuyahudumia makundi mbalimbali kama wasanii, walemavu n.k

8. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Ghambo - Mchapakazi, ameweza kulituliza jiji la Arusha na kupunguza kabisa matukio ya Ujambazi, migogoro ya ardhi, ni mhamasishaji na mshiriki mzuri wa shughuli za Maendeleo, amewaunganisha wana Arusha,

9. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi - ameweka heshima wizara ya Ardhi, kwa kiasi kikubwa amepunguza migogoro ya ardhi, kurudisha maeneo ya wazi mikononi mwa Umma, amepunguza kwa kiasi kikubwa urasimu katika upatikanaji hati za viwanja.

10. Ali Kiba - Mshindi wa Best Africa Collaboration na Best Artist/Group In Africa. Mashindano yalifanyika nchini Nigeria Novemba mwaka huu wa 2017.
11. Prof. John Aidan Mwaluko Kabudi- Waziri wa Sheria na Katiba. Amesimamia vema mchakati wa kubadilisha sheria zinazosimamia Kodi na tozo mbalimbali kwenye madini ili Taifa liweze kunufaika na rasilimali hiyo ya asiku. Aidha amesimamia mazungumzo baina ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick ili serikali iweze kunufaika na uchimbaji wa Madini kwa kupata Kodi na tozo zinazostahili
12. Prof. Abdulkarim Hamis Mruma-Aliiongoza vema Kamati ya Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli aliyoiunda kuchunguza wa Mchanga wa Madini maarufu kama Makinikia.
13. Prof. Nehemiah Osoro- Alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Rais aliyoiunda kuchunguza Masuala ya Kisheria na Kiuchumi Kuhusiana na Mchanga na Madini unaosafirishwa nje ya Nchi.

MATUKIO YALIYOTIKISA 2017

1. Taasisi za Serikali kuhamia Makao Makauu ya nchi, Dodoma zikiongozwa na Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

2. Uzinduzi wa Hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CKD)

3. Uzinduzi wa Ujenzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta Kutoka Uganda

4. Uzinduzi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa uliofanyika 21/08//2017 katika eneo la Pugu, jijini Dar es Salaam

5. Kupigwa risasi kwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu 07/09/2017 mjini Dodoma na watu wasiojulikana

6. Kuhama kwa Wanasiasa kutoka chama kimoja cha siasa kwenda Kingine

7. Kupandishwa Kizimbani kwa Mapapa wa ESCROW , IPTL. James Rugemalila na Harbinder Seth, 19/01/2017

8. Kuwekwa Hadharani kwa Orodha ya Majina ya Wauza na Watumia Madawa ya Kulevya na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda

9. Kupandishwa Kizimbani kwa Mfanyabiashara Maarufu Nchini Yusufu Manji Kwa tuhuma za Matumizi ya Madawa ya Kulevya aina ya Heroine.

10. Safari za Kushitukiza za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na kujionea matukio makubwa ya uhujumu uchumi.
11. Tukio la Kuuliwa kwa Wanajeshi wetu 14 waliokuwa wakilinda amani huko Congo-DRC
12. Tukio la Kupiga Marufuku Usafirishaji nje ya nchi Mchanga wa Dhahabu maarufu kama Makinikia.
13. Mauaji ya Kibiti


Pongezi kwa Mashujaa wetu mwaka 2017, Mungu awape maisha marefu muendelee kuipeperusha vyema bendera ya Taifa letu Kimataifa.

Mungu ayabariki matukio yote mazuri yaweze kufanikiwa kwa maendeleo ya taifa. Aidha Mungu aliepushe taifa na matukio mabaya yasiweze kujirudia tena mwaka ujao wa 2018.

Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania
 
Ni dhahiri wewe ni mzalendo kamili wa taifa hili, kwani umeweza kujua, kujali na kithamini mchango wa mashujaa wetu wa taifa hili ambao kwa dhamira ya dhati wamejito kw ajiki ya kuwatumikia watanzania.
 
Uko sahihi mkuu,
Mwenye kuona haijakaa sawa aanzishe uzi mwingine wa mashujaa wake.
 
View attachment 658029

1. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI-Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, rais wa Wanyonge, mwenye uchungu na rasilimali za taifa, aliyejitoa mhanga kupambana na maadui wa Maendeleo(Rushwa, Ufissdi, uzembe kazini n.k)
2. MAJALIWA KASIM MAJALIWA-Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania-Mpambanaji , mwenye maamuzi ya haraka kwa manufaa ya taifa, anayepambana na uzembe kazini, mpinga rushwa, ufisadi.
3. SAMIA SULUHU HASSAN-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania-Mwana mazingira halisi, mtetezi na kipenzi cha akina mama wa Tanzania na Mama wa mfano.
4. DKT. ALI MOHAMED SHEIN-Rais Wa Zanzibar-Mchukia rushwa , ufisadi na uzembe kazini, amefanikiwa kuwaunganisha Wazanzibari na kuwa kitu kimoja
5. Bi. ALLEN KIMAMBO-Mshindi wa Tuzo Ya Ujasiriamali wa Mazingira
inayotolewa na Benki ya Afrika
6. Alphonce Felix Limbu-Mwanariadha aliyetwaa medali ya Dhahabu katika Mashindano ya Riadha ya dunia ya Mumbai Marathon yaliyofanyika nchini India.
7. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda-Jasiri wa kukemea vitendo viovu kama matumizi ya dawa za kulevya, uzembe kazini, mbunifu wa mambo yenye kuwaletea maendeleo wananchi, kudumisha usalama wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuwa karibu na kuyahudumia makundi mbalimbali kama wasanii, walemavu n.k
8. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Ghambo- Mchapakazi, ameweza kulituliza jiji la Arusha na kupunguza kabisa matukio ya Ujambazi, migogoro ya ardhi, ni mhamasishaji na mshiriki mzuri wa shughuli za Maendeleo, amewaunganisha wana Arusha,
9. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Willam Lukuvi- ameweka heshima wizara ya Ardhi, kwa kiasi kikubwa amepunguza migogoro ya ardhi, kurudisha maeneo ya wazi mikononi mwa Umma, amepunguza kwa kiasi kikubwa urasimu katika upatikanaji hati za viwanja.
10. Ali Kiba- Mshindi wa Best Africa Collaboration na Best Artist/Group In Africa. Mashindano yalifanyika nchini Nigeria Novemba mwaka huu wa 2017.

MATUKIO YALIOTIKISA 2017
1. Taasisi za Serikali kuhamia Makao Makauu ya nchi, Dodoma zikiongozwa na Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2. Uzinduzi wa Hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CKD)
3. Uzinduzi wa Ujenzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta Kutoka Uganda
4. Uzinduzi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa uliofanyika 21/08//2017 katika eneo la Pugu, jijini Dar es Salaam
5. Kupigwa risasi kwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu 07/09/2017 mjini Dodoma na watu wasiojulikana
6. Kuhama kwa Wanasiasa kutoka chama kimoja cha siasa kwenda Kingine
7. Kupandishwa Kizimbani kwa Mapapa wa ESCROW , IPTL. James Rugemalila na Harbinder Seth, 19/01/2017
8. Kuwekwa Hadharani kwa Orodha ya Majina ya Wauza na Watumia Madawa ya Kulevya na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
9. Kupandishwa Kizimbani kwa Mfanyabiashara Maarufu Nchini Yusufu Manji Kwa tuhuma za Matumizi ya Madawa ya Kulevya aina ya Heroine.
10. Safari za Kushitukiza za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa katika Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na kujionea matukio makubwa ya uhujumu uchumi.

Pongezi kwa Mashujaa wetu mwaka 2017, Mungu awape maisha marefu muendelee kuipeperusha vyema bendera ya Taifa letu Kimataifa. Mungu ayabariki matukio yote mazuri yaweze kufanikiwa kwa maendeleo ya taifa. Aidha Mungu aliepushe taifa na matukio mabaya yasiweze kujirudia tena mwaka ujao wa 2018.
Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania
Umetumwaaaaaaaa sio bure !!
 
Yan Ali kiba kawekwa shujaa kwa kushinda tuzo Nigeria....mkuu ni bora ungeweka kimakundi...yan upande wa siasa uwe kivyake...upande wa michezo na burudani uwe kivyake..upande wa wafanyabiashara na wajasiriliamali wawe kivyao....umekuwa bias sna kuwachanganya sehemu moja..
 
Back
Top Bottom