Mashuga mami na mashuga dadi

Suala hili ni Mtambuka linahitaji mjadala wa kina tukihusisha Wasanii Maarufu nchini na watangazaji wa redio nyingi za FM.
BCc. Tanzanite Wasafi.........
 
vijana pumzi tunazo sema tatizo mitikisiko ya kwenye bodaboda hususani SANLG ndo unatumaliza kabisa.
 
Zari White Party,si uje PM? kuna siri nataka kukupa kuhusu Buzi lako.
 
Mtoa mada umeongea jambo ingawa wapingaji ninaamin watakuwa wengi sana
 
Basi mamii endelea hivo huvo tu au vipi?.
 
Halafu ukishapata fedha kutoka suger mummy ukanzisha project utatajirika nawe utakuwa SUGAR DADDY. ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…