Ntate Mogolo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 410
- 711
Mimi ninayo nauza nitumie namba yako tuongee biasharaNinahitaji mashudu ya alizeti, kiwango cha chini tani 25 na kuendelea.
Manunuzi yatafanyika mahali mzigo ulipo na usafiri ni juu yangu.
Inbox namba ya simu pamoja bei yako kwa kilo. Ubora utazingatiwa.
Ninahitaji mashudu ya alizeti, kiwango cha chini tani 25 na kuendelea.
Manunuzi yatafanyika mahali mzigo ulipo na usafiri ni juu yangu.
Inbox namba ya simu pamoja bei yako kwa kilo. Ubora utazingatiwa.
Huyu hayuko sirious.Mimi ninayo, je bado unahitaji?
Unauza au unahitaji?Tani 17 chalinze, na usafir ninao. Unasemaje?
We huko mkoa gani??Mie nipo Dar ila Nina uhakika wa KUPATA mkoa fulaniNinahitaji mashudu ya alizeti, kiwango cha chini tani 25 na kuendelea.
Manunuzi yatafanyika mahali mzigo ulipo na usafiri ni juu yangu.
Inbox namba ya simu pamoja bei yako kwa kilo. Ubora utazingatiwa.
NauzaUnauza au unahitaji?
ukiweka bei itakuwa poa sana.Nauza
Updates: biashara inaendelea PM.ukiweka bei itakuwa poa sana.
Bei gani wauza?Tani 17 chalinze, na usafir ninao. Unasemaje?