mashoga(pungas)

Hahahah. Msome kongosho hapo. Unajitemea chapchap kabla haijakula kwako.
Anatakiwa ajitemee kwa ndani ya shati kabla hajalibadilisha shati alilolivaa wakati wa tukio.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

aisee, mie mpaka leo nikikutana na zeruzeru natamani kujitemea mate. I feel so ashamed ila kiukweli naogopa zeruzeru hadi leo. Mungu anisamehe, nalipa kwa kutoa sadwaka nikimkuta zeruzeru anauza kitu hata nisichohitaji nampa tu hela. Makes me feel better na unyanyapaa wangu!
Hahahahaha
Daaah jf raha tupu!
King'asti umenikumbusha mbali sana!

hii kitu imeniathiri hadi leo aisee. Dah, im serious!
ajitemee mara tatu mfululizo
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu, inaelekea enzi hizo ulikuwa bado kuzaliwa eeh. Wenzio tulikuwa tukikutana na zeruzeru tunajitemea mate kifuani ili tusigeuke zeruzeru.
fanya mara saba

asisahau kuchinja jogoo wa kijani ili kuondoa nuksi la sivyo mwaka mzima utamwendea kombo na dili zake za maendeleo zita-bounce :happy:
 
kwenye unyanyapaa hauko peke yako
ila mie siku hizi nimeacha kujitemea

ila haimaanishi unyanyapaa umeniisha, labda siku moja utaniishia (work in progress)

Mkuu umenikumbusha na mimi siku moja nilikuwa kwenye railway station nasubiria mgeni wangu,miongoni mwa tuliokuwa pale alikuwepo punga,niligundua hilo baada ya treni kufika na walivyopokeana,dah!walidendeka siyo mchezo na busu kibao.Kweli huku kwa wenzetu siyo.Kama unavyosema,ingekuwa bongo wangeambulia kichapo cha nguvu
 
Mdogo wangu, inaelekea enzi hizo ulikuwa bado kuzaliwa eeh. Wenzio tulikuwa tukikutana na zeruzeru tunajitemea mate kifuani ili tusigeuke zeruzeru.
-_- kumbe nipo na watu wakubwa hapa JF. i used to hear that zamani maybe b4 2000, hata sikumbuki i was a kid. forget my offer then u wont make it one piece :happy: :happy:

hapana; akichelewa na yeye anabusiwa na mwenye ndevu.
There is a good chance that the couple doesn't find the thread starter won't even remotely interesting/attractive -.-
 
This is such a big relief seriously. Nilidhani nna matatizo ya akili. Kuna mkutano mmoja nilishake hands na albino, i could feel his hand all day long. Nilijisikia vibaya kuwa na uharakati wote i felt that way. Pamoja na kujua exactly why yuko hivyo. Naona aibu sana aisee, i hope nitaweza kuwa rafiki na mmoja wao ili nijikomeshe.
kwenye unyanyapaa hauko peke yako
ila mie siku hizi nimeacha kujitemea

ila haimaanishi unyanyapaa umeniisha, labda siku moja utaniishia (work in progress)

hahahaha, yaani 2000 unaita zamani! Aisee uwe unaniamkia shkamoo mamdogo. Manake ningetaka ningekuzaa, damn the schooling! Heh, siku tukitoka gym ntakupeleka tuka-break the rules (icecream ama milkshake, my favourite cardinal sin)
-_- kumbe nipo na watu wakubwa hapa JF. i used to hear that zamani maybe b4 2000, hata sikumbuki i was a kid. forget my offer then u wont make it one piece :happy: -
 
rome wasn't built in a day, its harder for the your generation.

hahahaha, yaani 2000 unaita zamani! Aisee uwe unaniamkia shkamoo mamdogo. Manake ningetaka ningekuzaa, damn the schooling! Heh, siku tukitoka gym ntakupeleka tuka-break the rules (icecream ama milkshake, my favourite cardinal sin)
i'll put my most convincing strait face just for you, i'll even compliment your shape. (chonde chonde usije ukani-barlow :smiling🙂
 
i'll put my most convincing strait face just for you, i'll even compliment your shape. (chonde chonde usije ukani-barlow :smiling🙂
ha ha ha ha, most convincing face?? For King'asti? Pawkuna mtu anajitakia ban ya milele huku.

Kuhusu ku-compliment shape, ukute ana shape kama Tyson, shauri lako.
 
Ni aibu kwa kweli
ila nadhani ni kama 'phobia' hivi imejengeka
na phobia haiishi siku moja, inahitaji muda
ndio maana mie nasema am still a work in progress

ujue kipindi kinakua unyapaa kwa hawa watu ulikuwa wa juu sana, na tulikuwa tunaufanya hadharani bila kujali hisia zao. Kwa sasa tulichoweza ni kujali hisia zao ila unyanyapaa bado uko palepale.

Kuna mmoja nilimsikia anahojiwa kwenye TV, mdada aliongelea hili suala la unyanyapaa. Akaelezea alihamia shule moja Dar watu wote wakamwachia dawati siku ya kwanza, na 'kujitemea' hadharani.

Hivi ujue mie nimekuwa nikiamini hawa watu hawafi huwa wanapotelea porini? Sikuwahi kujiuliza wala why? Niliamini blindly. Kumbe wanauawa, nadhani kwa kanda ya ziwa hawa watu wamekuwa wanauawa miaka nenda rudi.

Anyway, god help me on this.

hahahaha, yaani 2000 unaita zamani! Aisee uwe unaniamkia shkamoo mamdogo. Manake ningetaka ningekuzaa, damn the schooling! Heh, siku tukitoka gym ntakupeleka tuka-break the rules (icecream ama milkshake, my favourite cardinal sin)

mie nimeshangaa 2000 kuwa zamani sana hadi iwe 'when I was a kid' halafu tuko naye hapa tunaongea mambo ya kizee.

Nimegundua hata wa kwangu wanaweza kuwa hapa nawakuza bila kujua.
 
Bado sijakuelewa. Unawaonea wivu au ulitakaje?
 
ha ha ha ha, most convincing face?? For King'asti? Pawkuna mtu anajitakia ban ya milele huku
i mhh! nkisema ukweli ntakuwa banned, nikiplay strait napewa ban; mbona unanifunga? unaleta mambo ya damned if i do and damned if i dont -_-

Kuhusu ku-compliment shape, ukute ana shape kama Tyson, shauri lako.
mhhh!!ntakimbia,

its a long held belief na kuiacha haitokei overnight. unajaribu kumkunja samaki aliyekauka, ukifanya papara anakatika lol

mie nimeshangaa 2000 kuwa zamani sana hadi iwe 'when I was a kid' halafu tuko naye hapa tunaongea mambo ya kizee.

Nimegundua hata wa kwangu wanaweza kuwa hapa nawakuza bila kujua.
jamani mie mkubwa sasa hivi, nakaribia kuitwa baba(not literally)
 
It's just a mindset nothing else, mind your bussiness life is full of crazy shit
 
Mbona unasimulia kama unaogopa vile? Taja nchi uliyomo, mji, na jina la kituo cha treni ili nikuelewe vizuri zaidi maana zipo nchi zimehalalisha ushoga.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…