Habari wanajf...nimesikia taarifa ya Nape kuhusu kushughulikia viongozi wa taasisi na mashirika ya umma yaliyotajwa ktk ripoti ya CAG na bungeni...ni yapi hayo?
Mimi ningekuwa ni yule Ekelege wa TBS ningeitumia siku ya Jumapili 29/04 kukabidhi gari, ofisi na vitu vinavyoendana na ofisi ya MD wa TBS. Bora lawama kuliko fedheha atakayoipata siku ya kuambiwa na JK kabidhi.