MASHINJI ukatibu umekushinda, kutetea hoja kumekushinda. Hujui kujibu hoja kwa ufasaha

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,463
2,000
Nimemuangalia hapa anavyo jibu maswali ya charlz hilary hakika CHADEMA mnapote kabisaaaa naona msemaji wenu mwenye kujibu hoja alikuwa lissu pekee huyu katibu wenu naye ni mzigo kwenu ,

Anajibu maswali huku anatoka nje swali alilo ulizwa , maelezo hayajitoshelezi , maswali magumu majibu mepesi hahaaaaaaa aisee CHADEMA mnahali mbaya kwa staili hii lazima chama kife maana wajenga hoja wamewaishia , na kitakufa hakika.
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,214

Kila chenye uhai kitakufa, usichokijuwa tu ni kwamba Chadema inaweza ikashuhudia kifo chako kabla ya wewe kushuhudia kifo cha Chadema.

Nani kaiona kesho?
 
Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,463
2,000
Kila chenye uhai kitakufa, usichokijuwa tu ni kwamba Chadema inaweza ikashuhudia kifo chako kabla ya wewe kushuhudia kifo cha Chadema.

Nani kaiona kesho?
Acha kunitisha bwana kama kufa hata wewe upo cha msingi ni kwamba kupanga ni kuchagua huyo jamaa yenu anawapoteza sana CHADEMA na atawapoteza na anawatafuna kimya kimya huyo ni ccm dam dama kwa taarifa yenu
 
General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
14,885
2,000
Hivi Kumbe CHADEMA wana katibu mkuu??? Slaa tuseme na ule ukweli aliacha pengo kubwa sana hapo???
Slaa alikuwa kiboko.
Chadema itajutia kukumbatia makapi na kuacha watu waliokipigania chama mpaka kufika hapo.

Slaa alivunjwa mpaka mkono na polisi ktk kukipigania chadema. Umaarufu wanSlaa ndio umeijenga chadema hapo ilipo. Ni Slaa huyu aliye acha ubunge na kugombea Urais na kupata wabunge wengi kupindukia.

Hata angegombea Urais idadi ya wabunge wa chadema ingezidi hii au kulingana. Sasa Wanapukutika kama uchafu.

Hakika Slaa pamoja na mapungufu yake, tukubali Chadema kumpoteza huyu baba Itajuta, na hii itaitafuna Chadema.

Mimi nilikuwa mfuasi damu wa Chadema, na nimebadili ID hii baada ya kuona Chadema Imemezwaa.

Dah!!!
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
9,050
2,000
Nimemuangalia hapa anavyo jibu maswali ya charlz hilary hakika CHADEMA mnapote kabisaaaa naona msemaji wenu mwenye kujibu hoja alikuwa lissu pekee huyu katibu wenu naye ni mzigo kwenu ,

Anajibu maswali huku anatoka nje swali alilo ulizwa , maelezo hayajitoshelezi , maswali magumu majibu mepesi hahaaaaaaa aisee CHADEMA mnahali mbaya kwa staili hii lazima chama kife maana wajenga hoja wamewaishia , na kitakufa hakika.
Mkuu na mimi nimemtizama hapa nimeishia kusikitika sana..
Huyu hawezi kabisa hii nafasi.
 
successor

JF-Expert Member
Oct 25, 2012
3,085
2,000
Mashinji ni mzigo, sijawahi kumkubali. Kuna haja ya kutafuta Katibu mkuu anayeweza kuipeleka CDM mbele, sio huyu. Ana uwezo mdogo sana, hawezi kujibu wala kujenga hoja. Kwa kifupi hafai.
Mungu ibariki Chadema.
 
VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,131
2,000
Nimemuangalia hapa anavyo jibu maswali ya charlz hilary hakika CHADEMA mnapote kabisaaaa naona msemaji wenu mwenye kujibu hoja alikuwa lissu pekee huyu katibu wenu naye ni mzigo kwenu ,

Anajibu maswali huku anatoka nje swali alilo ulizwa , maelezo hayajitoshelezi , maswali magumu majibu mepesi hahaaaaaaa aisee CHADEMA mnahali mbaya kwa staili hii lazima chama kife maana wajenga hoja wamewaishia , na kitakufa hakika.
edit heading, kumekushunda ndio nini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom