M mamtam Member Joined Mar 25, 2017 Posts 30 Reaction score 17 Apr 10, 2017 #1 habari zenu? je naweza kupata mashine ambayo nitakuwa natengeneza askirimu zangu (hizi za kienyeji za vifuko za mia mia)!? mashine ambayo nitakuwa naeka juice yangu na waraka then iwe inajifyatua yenyewe kuzifunga zile askirimu? naombeni msaada
habari zenu? je naweza kupata mashine ambayo nitakuwa natengeneza askirimu zangu (hizi za kienyeji za vifuko za mia mia)!? mashine ambayo nitakuwa naeka juice yangu na waraka then iwe inajifyatua yenyewe kuzifunga zile askirimu? naombeni msaada