Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,145
- 1,344
Mashine za tofali tofauti tofauti kwa wale wenye Project za ujenzi na wale wanaotaka kufanya biashara ya tofali.
Bei ngapi?Hii ni vibrated block machine ya tofali moja
Motor 3HP
Three Phase
High speed
Bei yake ni 2.4MView attachment 3378891
2.4M mkuuBei ya hii
Milioni mbili laki nne mkuuBei ngapi?
Bei ni pamoja na hiyo mixer?Mashine ya tofali mbili
Price 2.6MView attachment 3378894
0740374705Nipe namba
Hapana mkuu mixer ni milioni 4Bei ni pamoja na hiyo mixer?
High speed kwa maana ipi!?Hii ni vibrated block machine ya tofali moja
Motor 3HP
Three Phase
High speed
Bei yake ni 2.4MView attachment 3378891
Motor yakeHigh speed kwa maana ipi!?