Sitaki kuamini JF-Expert Member Joined Aug 9, 2018 Posts 1,145 Reaction score 1,344 May 27, 2025 Thread starter #21 Caps 50
Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 5,752 Reaction score 10,523 May 27, 2025 #22 Grahams said: Kuna mtu aliwahi kuniambia kuhusu hili. Nitafatilia Mkuu, huenda nikaanza kushika milioni yangu ya kwanza katika Uzee huu 😜 Click to expand... Ya blocks unayo mkuu ?
Grahams said: Kuna mtu aliwahi kuniambia kuhusu hili. Nitafatilia Mkuu, huenda nikaanza kushika milioni yangu ya kwanza katika Uzee huu 😜 Click to expand... Ya blocks unayo mkuu ?
Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 5,752 Reaction score 10,523 May 27, 2025 #23 BRAVO 2 ZERO said: Usifanye biashara ya tofali kama huna gari ya mchanga au ya kusafilisha tofali kwenda kwa mteja Click to expand... Ni kweli ni muhimu kuwa navyo hivyo vitu
BRAVO 2 ZERO said: Usifanye biashara ya tofali kama huna gari ya mchanga au ya kusafilisha tofali kwenda kwa mteja Click to expand... Ni kweli ni muhimu kuwa navyo hivyo vitu
Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 5,752 Reaction score 10,523 May 27, 2025 #24 Grahams said: Hii ndiyo miradi yetu wastaafu Unauza tofali zako elfu 1, unapata hela ya kula sio Chini ya laki 2 Hadi pension itoke, unakuwa haujafa na njaa Click to expand... Ukijipanga utanitafuta nikutafutuie vijana wa kazi mkuu.
Grahams said: Hii ndiyo miradi yetu wastaafu Unauza tofali zako elfu 1, unapata hela ya kula sio Chini ya laki 2 Hadi pension itoke, unakuwa haujafa na njaa Click to expand... Ukijipanga utanitafuta nikutafutuie vijana wa kazi mkuu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,107 Reaction score 1,249,096 May 27, 2025 #25 Nice
D Danielmwasi JF-Expert Member Joined May 3, 2021 Posts 2,329 Reaction score 4,198 May 27, 2025 #26 hizi machines ni kila siku nothing new
Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 5,752 Reaction score 10,523 May 27, 2025 #27 Sitaki kuamini said: Vibrated block machine tofali mbili 2.8MView attachment 3347447 Click to expand... Hutu ni kwa mfumo wa umeme au manual tu ya kawaida kupiga na mikono ?
Sitaki kuamini said: Vibrated block machine tofali mbili 2.8MView attachment 3347447 Click to expand... Hutu ni kwa mfumo wa umeme au manual tu ya kawaida kupiga na mikono ?
Sitaki kuamini JF-Expert Member Joined Aug 9, 2018 Posts 1,145 Reaction score 1,344 May 28, 2025 Thread starter #28 Mi mi said: Hutu ni kwa mfumo wa umeme au manual tu ya kawaida kupiga na mikono ? Click to expand... Mkuu nimechnganya picha hiyo bei ni kwa machine ya umeme Manual ni 700k
Mi mi said: Hutu ni kwa mfumo wa umeme au manual tu ya kawaida kupiga na mikono ? Click to expand... Mkuu nimechnganya picha hiyo bei ni kwa machine ya umeme Manual ni 700k
Sitaki kuamini JF-Expert Member Joined Aug 9, 2018 Posts 1,145 Reaction score 1,344 May 28, 2025 Thread starter #29 Manual machine (Bam bam) 700k
Sitaki kuamini JF-Expert Member Joined Aug 9, 2018 Posts 1,145 Reaction score 1,344 May 28, 2025 Thread starter #30 Paving machine manual 950k Attachments IMG-20250528-WA0027.jpg 86.6 KB · Views: 23
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,798 Reaction score 57,309 May 28, 2025 #31 Mi mi said: Ukijipanga utanitafuta nikutafutuie vijana wa kazi mkuu. Click to expand... Nitashukuru sana Mkuu
Mi mi said: Ukijipanga utanitafuta nikutafutuie vijana wa kazi mkuu. Click to expand... Nitashukuru sana Mkuu
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,798 Reaction score 57,309 May 28, 2025 #32 Mi mi said: Ya blocks unayo mkuu ? Click to expand... Hapana Sina Mkuu
Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 5,752 Reaction score 10,523 May 28, 2025 #33 Sitaki kuamini said: Manual machine (Bam bam) 700kView attachment 3348444View attachment 3348443 Click to expand... Kazi nzuri mkuu location wapi ?
Sitaki kuamini said: Manual machine (Bam bam) 700kView attachment 3348444View attachment 3348443 Click to expand... Kazi nzuri mkuu location wapi ?
Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 5,752 Reaction score 10,523 May 28, 2025 #34 Sitaki kuamini said: Paving machine manual 950kView attachment 3348448View attachment 3348449View attachment 3348451 Click to expand... Kazi nzuri mkuu
Sitaki kuamini said: Paving machine manual 950kView attachment 3348448View attachment 3348449View attachment 3348451 Click to expand... Kazi nzuri mkuu
Sitaki kuamini JF-Expert Member Joined Aug 9, 2018 Posts 1,145 Reaction score 1,344 May 28, 2025 Thread starter #35 Mi mi said: Kazi nzuri mkuu location wapi ? Click to expand... Mwenge opposite na suma jkt
Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 5,752 Reaction score 10,523 May 28, 2025 #36 Sitaki kuamini said: Mwenge opposite na suma jkt Click to expand... Sawa sawa mkuu
Sitaki kuamini JF-Expert Member Joined Aug 9, 2018 Posts 1,145 Reaction score 1,344 Jun 16, 2025 Thread starter #37 Hii bambam utaipata kwa 500,000/= tu
Sitaki kuamini JF-Expert Member Joined Aug 9, 2018 Posts 1,145 Reaction score 1,344 Jun 16, 2025 Thread starter #38
Sitaki kuamini JF-Expert Member Joined Aug 9, 2018 Posts 1,145 Reaction score 1,344 Jun 16, 2025 Thread starter #39 Kwa wajasiriamali hii biashara ya tofali ni bora zaidi Kuliko kununua bodaboda
Sitaki kuamini JF-Expert Member Joined Aug 9, 2018 Posts 1,145 Reaction score 1,344 Jun 16, 2025 Thread starter #40 Mashine ya kufyatua tofali moja Mota yake 3hp Three phase High speed Tofali 2000 kwa masaa 8 Ya tofali mbili pia ipo ✅
Mashine ya kufyatua tofali moja Mota yake 3hp Three phase High speed Tofali 2000 kwa masaa 8 Ya tofali mbili pia ipo ✅