Mashine za tofali thread!

Ulishindwa kutafuta ujanani?acha mzaha
Unajua sisi tuliostaafu zamani utumishi, wengi tuliishia kustaafu na mshahara wa 36,800

Hizo milioni tumekuja kuzisikia wa Wajukuu zetu tu 😜
 
Hapo Nina miaka 3.πŸƒπŸƒ
Mungu ni mwema bado tunaendelea kutumia pumzi yake πŸ™πŸ™

Kila la heri kwenye mapambano yako ya maisha, umri ulionao ni wa kufanya kazi Kwa bidii huku ukijitahidi kuwekeza na kutunza akiba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…