Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,145
- 1,344
Mashine za kisasa za kufyatulia tofali aina Mbali Mbali na size tofauti zinapatikana
0745588735
Location Mwenge
0745588735
Location Mwenge
Hii hata paving ina faa ?Mashine za kisasa za kufyatulia tofali aina Mbali Mbali na size tofauti zinapatikana.
WhatsApp 0740374705
View attachment 3347442
Hii ina ingiza mchanga kiasi gani ?Mashine za kisasa za kufyatulia tofali aina Mbali Mbali na size tofauti zinapatikana.
WhatsApp 0740374705
View attachment 3347442
Karibu mkuuHatutaki kuamini
Mkuu karibu,ni ratio ya mfuko mmojaHii ina ingiza mchanga kiasi gani ?
ShukraniKaribu mkuu
Pavings zina lipa piaHii ndiyo miradi yetu wastaafu
Unauza tofali zako elfu 1, unapata hela ya kula sio Chini ya laki 2
Hadi pension itoke, unakuwa haujafanya na njaa
Kuna mtu aliwahi kuniambia kuhusu hili.Pavings zina lipa pia
Bei?Vibrated block machine tofali mbili View attachment 3347447
2.8M mkuuBei?
Kabisa mkuuHii ndiyo miradi yetu wastaafu
Unauza tofali zako elfu 1, unapata hela ya kula sio Chini ya laki 2
Hadi pension itoke, unakuwa haujafa na njaa
Kuna sehemu nilikuwa nina ka-project ka Ujenzi, nilinunua zaidi ya tofali 8,350 Kwa bei ya shilingi 1,200 Kwa tofaliKabisa mkuu
Hata vijana tu hii ni biashara nzuri,tatizo wanawaza kufungua maduka ya makava ya simu
Kabisa mkuuKuna sehemu nilikuwa nina ka-project ka Ujenzi, nilinunua zaidi ya tofali 8,350 Kwa bei ya shilingi 1,200 Kwa tofali
Kwa idadi hiyo ya tofali, hukosi shilingi 2,000,000 Faida
Usifanye biashara ya tofali kama huna gari ya mchanga au ya kusafilisha tofali kwenda kwa mtejaKabisa mkuu