S Snglfrj Member Joined Nov 21, 2021 Posts 17 Reaction score 35 Dec 4, 2021 #1 Habarini wakuu,ni matumain yangu mpo poa,naomba kujua kama kuna mashine za kupaka rangi kucha na bei zake zipoje,karibuni kwa msaada
Habarini wakuu,ni matumain yangu mpo poa,naomba kujua kama kuna mashine za kupaka rangi kucha na bei zake zipoje,karibuni kwa msaada
wamidosho JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 456 Reaction score 424 Dec 4, 2021 #2 Mashine ya kukaushia rangi ya kucha au kupaka rangi ya kucha?
S Snglfrj Member Joined Nov 21, 2021 Posts 17 Reaction score 35 Dec 4, 2021 Thread starter #3 wamidosho said: Mashine ya kukaushia rangi ya kucha au kupaka rangi ya kucha? Click to expand... Zote mkuu za kupaka na kukausha Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
wamidosho said: Mashine ya kukaushia rangi ya kucha au kupaka rangi ya kucha? Click to expand... Zote mkuu za kupaka na kukausha Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,163 Reaction score 184,887 Dec 5, 2021 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,077 Reaction score 3,419 Dec 5, 2021 #5 Snglfrj said: Habarini wakuu,ni matumain yangu mpo poa,naomba kujua kama kuna mashine za kupaka rangi kucha na bei zake zipoje,karibuni kwa msaada Click to expand... Ukipewa jibu naomba unitag.
Snglfrj said: Habarini wakuu,ni matumain yangu mpo poa,naomba kujua kama kuna mashine za kupaka rangi kucha na bei zake zipoje,karibuni kwa msaada Click to expand... Ukipewa jibu naomba unitag.