Habari zenu wanajamvi- jukwaa la Biashara na Uchumi.
Naandaa andiko la mradi juu ya biashara ya kuprint maandishi , nenni na logo kwenye nguo.. Naomba msaada wenu juu ya , Aina za mashine na bei zake ili nijipange kwa ajili ya kuanzisha project hii... Pia na maeneo zinakopatikana.
Asanteni