Mashine za kusaga na kukoboa

We ni mshamba unabahatisha biashara
Mkuu hivi Unapoingiza umeme ndani kwako Tanesco wanakuhitaji nini?

Kama utalijibu hilo swali sisi tupo upande Wa kuitengeneza mashine umeme ni upande mwingine
 
Wewe huna uwezo wa marketing nilishawishika ila unavyojibu humu hovyo sana
Mkuu ni kweli usemacho kwa mawazo yako lakini si kila kitu kitawekwa wazi hapa ndio maana tunashauri mteja afike ofisini hapa ni maelezo ya awali karibu kwa mashine lolote 0762612213
 
Wewe huna uwezo wa marketing nilishawishika ila unavyojibu humu hovyo sana
Inakubidi uje ofisini mkuu njoo tuulize maswali yako yote ujibiwe kwa uhuru
 
Wajasiriamali mnahitaji machine imara na bora karibuni
 
Karibu tukutengenezee machine zenye ubora million mbili na laki sita unamiliki mashine
 
Machine bora na imara za kusaga na kukoboa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…