Mashine za kusaga na kukoboa

Je muna machine ya kuprocess dengu itoke kwenye lile ganda lake!
 

Natuamai u bukheri wa afya
Naomba unifafanulia hizo mashine za kusaga na kukoboa:
Mashine hii ina uwezo wa kuchakata kiasi Fulani cha zao Fulani kwa saa, lengo hata asiye zijua awezi kujipima
Kwa vyakula, standard huwa stainless steel, kuepuka usumbufu, je ni grade gani unaitumia?
Brand ya motor iliyofungwa

Kwa mashine za tofali:
Pamoja na yote weka THICKNESS ya plate unayotumia kutengenezea mixer, ikiwezekana na brand ya moro iliyofungwa

Pamoja
 
Nakushauri tafuteni mtu wa marketing, wewe jikite kwenye vyuma mkuu..... unajibu kikavu kavu sana.

Ila bei zenu zipo poa.
 
Nakushauri tafuteni mtu wa marketing, wewe jikite kwenye vyuma mkuu..... unajibu kikavu kavu sana.

Ila bei zenu zipo poa.
Mkuu ni kweli usemacho kwa mawazo yako lakini si kila kitu kitawekwa wazi hapa ndio maana tunashauri mteja afike ofisini hapa ni maelezo ya awali karibu kwa mashine lolote 0659567058
 
Asante sana kiongozi haya tunayafanya kwa anaekuja site
Ni kweli kwa wanaoelewa ukiweka hivyo ataelewa kiurahisi lakini ukumbuke wapo wengine kuelewa kwao mpaka akione
Pia kuna kulinda brand

Pia kuna price variation karibu kwa maswali yote tuulize 0659567058
 
Je mashine ya kukausha Hilo (cardamom) zinapatikana hapo kwa bei gani?
 
Mashine za kusaga na kukoboa tupigie 0659567058
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…