Mashine za kusaga na kukoboa

Job Richard

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
3,875
Reaction score
2,201
Wale wanaohitaji
mashine za kukoboa na kusaga tunawaletea ofa kubwa msimu huu wa mavuno

Ssasa miliki mashine yako kubwa kwa bei ndogo kabisa

Msimu wa mavuno ni sasa

Offa zetu hizi Tanzania viwanda inawezekana

Orodha mashine za kusaga

Kinu
Namba 50 mota 20hp gharama kuu-2600000
Mashine kamili kabisa

Kinu
namba 75 mota 30hp gharama kuu-3400000

Kinu
Namba 100 mota 40hp
Gharama 5200000

Orodha mashine za kukoboa

Rola 2 kinu + mota 20hp gharama kuu 2500000

Rola 3 kinu + mota 30hp gharama kuu 3500000

Rola 4 kinu +mota 40hp gharama yake 4500000

Rola 5 +mota 40hp gharama yake 5700000

Kumbuka mashine zote ni pamoja na reli zake na stand

Wahi msimu huu wa offa zetu mashine imara na bora kabisa

Tupo ubungo external lolote nipigie 0774150519

View attachment 1049038

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Je hamna mashine zinazotumia nishati yha mafuta maana sehemu nyingi zenye huitaji wa hizo mashine hazijafikiwa na umeme?.

Je mnazo mashine za kukamua alizeti na kusafisha mafuta yake?
 
Mashine ya alizeti nataka nipe bei

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu UMEME karibu 90% ya hapa Tanzania imefikiwa na UMEME REA wamefanya kazi

Na mashine ya Kusaga na kukoboa sio vijijini Bali mjini ndiko kuna wanaokula ugali sana kama chakula kikuu soko lake Kubwa sana

Nakushauri pia kama ulikuwa unadhani vijijini basi sio hivyo MASHINE NI MJINI NA NDIO MAANA HATA GIANT MACHINES ZIPO MJINI

MALIGHAFI UNAZITOA KIJIJINI UMAWAPELEKEA UNGA
Je hamna mashine zinazotumia nishati yha mafuta maana sehemu nyingi zenye huitaji wa hizo mashine hazijafikiwa na umeme?.

Je mnazo mashine za kukamua alizeti na kusafisha mafuta yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nashukuru, ila hujajibu swali nililokuuliza kuhusu mashine za nishati.
Hilo la kuniambia 90% hapa Tanzania kuna umeme, na watu wanaosaga wapo mijini, hii inamaana mmejikita zaidi kwa watu wa mijini na si wa vijijini.
Kwa matiki hii, si qualify kuwa mteja wanu.
 
Ni za Sido au China?
 
Mkuu sorry kwa kutokukujibu nishati
Mbadala kama eneo ulipo halina mafuta

Tunakuwekea diesel engine badala ya mota

Karibu sana 0659567058au 0745560687 tutembelee tupo ubungo external upate ushauri zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni za Sido au China?
Ndio mkuu japo Sido haitengenezi mashine Bali inajumuisha watengenezaji eneo moja Tuna site mbili vingunguti na Hapa ubungo external.

Kwa sasa tumebase ubungo external kwa mashine ndogo ndogo zote kuanzia kusaga,kukoboa,tofali juice ya miwa n.k lolote karibu
0659567058
Sent using Jamii Forums mobile app
 
*INCUBATOR ZA SOLAR NA GAS ZINAFANYA KAZI POPOTE ULIPO PASIPO UMEME*

mayai

264 Tsh 1,800,000/=
352 Tsh 2,100,000/=
440 Tsh 2,200,000/=
528 Tsh 2,400,000/=/
704 Tsh 2,500,000/=
880 Tsh 2,800,000/=
1054 Tsh 3,150,000/=
1408 Tsh 3,400,000/=
2112 Tsh 5,500,000/=
2640 Tsh 5,600,000/=
3168 Tsh 6,200,000/=
5280 Tsh 9,300,000/=
*UKINUNUA UNAPEWA SOLAR NA MITUNGI MIWILI YA GAS*

*WARRANTY MWAKA MMOJA*

*Incubator zitumiazo UMEME... BODY NGUMU*

Made in Tanzania
Mayai:
264 Tsh 950,000/=
352 Tsh 1,300,000/=
440 Tsh 1,500,000/=
528 Tsh 1,700,000/=
704 Tsh 1,900,000/=
880 Tsh 2,100,000/=
1054 Tsh 2,300,000/=
1408 Tsh 2,600,000/=
2112 Tsh 3,200,000/=
2640 Tsh 3,500,000/=
3168 Tsh 4,200,000/=
5280 Tsh 6,000,000/=

*WARRANTY YA *MWAKA MMOJA*
*TUNAPATIKANA*

*Tunapatikana Mandela Road Ubungo external*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba hamna mtaji wa kuunda mashine hadi mteja alipe advance?

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida sio mtaji mkuu Bali ni kufuatana na uhitaji wa mteja bila hivyo utaitengeneza halafu iendelee kukaa katika karakana ndio maana inakuwa hivyo Akilipa hiyo mnaongezea kama haijatosheleza ili mradi yeye amalizie kilichobaki ikiwa tayari mashine yake

NA PIA KWA NCHI YETU HATA MITAJI MIDOGO KUWA NA MASHINE ZOTE TAYARI NGUMU MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je hamna mashine zinazotumia nishati yha mafuta maana sehemu nyingi zenye huitaji wa hizo mashine hazijafikiwa na umeme?.

Je mnazo mashine za kukamua alizeti na kusafisha mafuta yake?
Acha siasa za kijinga kwenye biashara,

Hiyo asilimia 90% ya kisiasa unayoisikia kwenye taarifa ya habari ndo unaweka conclusion kuwa vijiji vyote vimefikiwa na umeme?

Nilipanga ninunue bora niende Sido tu.
 
mambo yetu haya! sema. bei. zimechangamka kidogo

Kizuri ni kwamba mnachonga na chassis tofauti na mazoea ya huku mitaani. vinginevyo bidhaa iko sawa.

Kwa upande mwingine ungenyoosha maelezo kiasi unaposema 'mashine kamili'

Mashine zinazokokotwa na mota hazikamiliki bila mtandao wa umeme.. hivyo. ungeweka. sawa kama mnatoa na circuit breake, main switch ya 3 phase, stater, cables nk maana sisi wamang'ati tutakuzolea milioni zako 2,400,000 kisha tusubiri kukinga unga tu basi!
 
Mkuu hivi Unapoingiza umeme ndani kwako Tanesco wanakuhitaji nini?

Kama utalijibu hilo swali sisi tupo upande Wa kuitengeneza mashine umeme ni upande mwingine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…