Mashine za Kuosha Magari Bei poa

Mashine za Kuosha Magari Bei poa

ndaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
347
Reaction score
49
Wadau salaam..nauza mashime 2 za kuosha magari aina ya Kercher 130 mpya kabisa kwenye box na Hitachi vacuum cleaners 2 pia mpya vyote kwa 1.3m.Karibuni.K2a mawasiliano 0659300000
 
800k tuongee...hizi kitu zinakufa zikitumiwa kwa heavy duty jombaa.
 
Jombaa hizi karcher sio uchina mkuu..ni vumilivu na mpya kwa box...ntakupa kwa 1.2 pamoja na vacuum cleaners 2..na spea za ziada
 
duh hizo machine zinakuwaje? mi najua hizi automatic ukiingiza gari inaosha yenyewe kwa nje na zinakuwa kuubwa sio za box,hizo dah mpya anyway powa
 
Back
Top Bottom